kakonko

Kakonko District is one of the eight districts of the Kigoma Region of Tanzania. It is one of the 20 new districts that were formed in Tanzania since 2010; it was split off from Kibondo District. Kakonko District is bordered to the north by Kagera Region, to the east by Geita Region, to the south by Kibondo District, and to the west by Burundi. Its administrative seat is the town of Kakonko.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Kakonko District was 167,555.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Form 4 - Kakonko tumelipwa posho pungufu

    Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Kidato cha Nne, Wilaya ya Kakonko tumepewa malipo yasiyoendana na siku za kazi yenyewe, tunakaa na mitihani siku 7 ila malipo tuliyopewa yalikuwa ya siku tano. Malipo hayo ni Sh 75k kwa siku, wengine vituo tulivyoenda kusimamia vilikuwa vya mbali na kutoka...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakonko DC tuliambiwa Fedha za Kujikimu inazingatia Salary Scale, sasa wanasema inazingatia kituo

    Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini. Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa katika mikopo inayotolewa Hazina kwa Watumishi ngazi ya Halmashauri ya Kakonko

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina. Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu iliyopita. Kila mara ninapowasilisha ombi langu kupitia mfumo wa mtandao, ombi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kakoko, Kigoma: Hatujalipwa pesa za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma. Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo...
  6. JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  7. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Meneja RUWASA Kakonko na Mwenzie Wafikishwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Rushwa Na Uhujumu Uchumi.

    Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM). Washtakiwa hao ni Bw. Denis Simon Manji (36) ambaye ni Fundi sanifu maji RUWASA Wilaya ya Kakonko na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Aloyce Kamamba na wajumbe damu damu kuelekea kura za maoni

    KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli. Kamamba ameonyesha uwezo mkubwa wa kuwaleta wajumbe pamoja, kwa moyo wa kizalendo na dhamira ya dhati...
  9. JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  10. JamiiForums Tanzania MSLAC yapamba moto Kakonko - elimu kwa wananchi yaendelea kutolewa

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa. Wananchi wamehamasishwa kuhusu masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, haki za kijinsia, ajira, na mbinu za...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA walitumia saa 6 toka Kigoma hadi Kakonko. Kazi ya CCM katika ujenzi wa barabara sasa CHADEMA hutumia masaa 2 tu

    Ni kazi kuamini:- * Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao; * Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati mkoani Kigoma. * Mawasiliano ya simu ktk rural areas siyo hoja tena. Ni CCM chini ya Rais Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Tabora, Kigoma na Burundi - tupaze sauti kwa Mama Samia - tupate Barabara ya Mambali (Tabora) kuja Kakonko (Kigoma)

    Salaam! Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms. Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms. Endapo Mama Samia atakubali na kusikia...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi wa Kakonko tunaomba barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) kwenda Mambali (Uyui)

    Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Philip Isdory Mpango Nawasalimu sana katika jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Baada ya Salaam hizi nachukuwa wasaa huu kuwaombea afya ya siha bora Wewe, Rais wetu kipenzi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa Kassim na viongozi wote wa nchi hii...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali, tufanye nini kupata mbolea ya kukuzia wilayani Kakonko?

    Serikali yetu ishukuriwe kwa mbolea ya ruzuku hususan ya kupandia iloletwa hapa wilayani Kakonko mwaka huu. Tuliipokea kwa kishindo lkn sasa changamoto kubwa ni mbolea ya kukuzia ambayo imecheleweshwa huku mimea ikiendelea kukua. Swali: Tufanyeje kupata mbolea ya kukuzia hapa wilayani Kakonko?
  15. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, tusaidie haya wilayani Kakonko

    Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:- (a) Jumuiya za chama Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa ajili ya kupanua wigo wa utendaji kazi na kupunguza utegemezi kwenye chama - miradi ipo mingi sana...
  16. JamiiForums Tanzania Kakonko, Ngara, na Biharamulo kataeni makao makuu ya mkoa kuwa Chato - Nyakanazi liwe pendekezo lenu

    MKOA MPYA NA MAKAO MAKUU MAPYA NYAKANAZI: Anaandika Msakila M Kabende - Economist KWA WAHESHIMIWA:- (i). Aloyce Kamamba - Mbunge wa Jimbo la Buyungu (ii). Ezra John Chiwelesa - Mbunge wa Jimbo la Biharamulo (iii). Ndaisaba G. Luhoro - Mbunge wa Jimbo la Ngara (iv). Fidel Chiza Nderego -...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

    Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera. Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato...
  18. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TEMEKE naye akamatwe na ahojiwe

    Mwananchi wangu wa Kakonko ambae,alikua ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyang'wale Ndugu yangu Carlos Gwamagobe ameswekwa Rumande kwa Wizi na wenzake 5. Carlos namfahamu vizuri maana niliwahi kufanya nae Kazi Halmashauri ya Kakonko akiwa ni afsa Ustawi wa Jamii. Niliwahi kumwambia aache kula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…