Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, anajiandaa kufanya kampeni kwa ajili ya Makamu wa Rais Kamala Harris katika juhudi za mwisho kuelekea uchaguzi.
Obama, ambaye ni Kiongozi mashuhuri wa Chama cha Democratic, ataanza kampeni zake kwa Harris Alhamisi ijayo huko Pittsburgh, huku akipanga...
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump.
Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
dhidi
donald trump
kamalakamalaharris
maafisa
maafisa usalama
marekani
mkono
mkuu
trump
trump vs kamala
uchaguzi
uchaguzi marekani 2024
uchaguzi mkuu
usalama
Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.
lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa ni dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero...
Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani"
========...
Wallah! sauti ya Kamala imenikosha sana, kabda akilini mwangu nilikosa sauti nzuri kutoka kwakwe nyingi ya sauti zake nilizowahi kumsikiliza nilimwona kama mtu anayeongelea puani kitendo kilichokuwa kinanikera. Sasa bwana hii Debate aliyofanya majuzi kati yake na Trump imebadilisha kabisa...
Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris.
Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump kuhenyeshwa vibaya na mpinzani wake wa chama cha Democrat, mwanamama Kamala Harris kwenye mdahalo wa kwanza...
Mdahalo wa kwanza baina ya Donald Trump na Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa USA umefanyika usiku wa kuamkia leo huko marekani, baadhi yetu tulifanikiwa kuufatilia kwa kina katika kujifunza nk.
Mbali na sera za wagombea kuna vitu vingi mnoo huangaliwa katika midahalo hiyo ili...
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic, Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.
Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita...
Harris campaign wants a second debate
Harris’s campaign has almost immediately called for a second debate against Trump.
“Under the bright lights, the American people got to see the choice they will face this fall at the ballot box: between moving forward with Kamala Harris, or going backwards...
Mdahalo (debate) utaanza saa 10:00 alfajiri ( Saa za Afrika Mashariki) siku ya Jumatano na itaenda hadi around saa 12asubuhi..
Kwa watakaotaka kufuatilia, TVs zote za dunia CNN, BBC, FOX NEWS, ALJAZEERA, CBS, ABC, SABC, SKYNEWS nk nk zitarusha live mdahalo huo...
Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu.
Haya mtaarifu na Mwenzako kuhusiana na huo muda na wale Wenzangu tusiojua Kiingereza tuhakikishe Kamusi za TUKI hazikai...
Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden.
Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili wasiuze mafuta, Mkakati huu uliwafanya Iran wawe wamenyongonyea kiuchumi, Hawakuwa na nguvu wa la jeuri...
Wakuu habarini za muda huu,
Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776.
Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi...
Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu
Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden.
Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na Mwanasheria. Ni ngumu Sana Kutoboa
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana:
Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu?
Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
Uwanja wa siasa nchini Marekani umezidi kuchangamka na hii ni baada ya mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, hivi karibuni kusema kuwa hata kama humpendi yeye kama yeye ni muhimu sana kumpigia kura.
Trump aliyasema hayo kwenye jimbo la Pennsylvania huko nchini Marekani akiwa kwenye...
Habari zenu wanajamvi. Mko vizuri?
Kama unafuatilia jukwaa hili basi bila shaka utakuwa unafahamu mengi kuhusu mbio za uchaguzi zinazoendelea Marekani.
Ni Trump Vs Kamala. Hii hata watoto wa 2000 watakuwa wanafahamu.
Wengi wasichofahamu ni kuwa karibu kila opinion poll Marekani inatabiri kuwa...
Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya kihuni na kupenda ubaguzi pamoja na uadui kwa waislamu hautamuwezesha Donald Trump kurudia kwenye...
Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa
TRUMP ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74
Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.