kamala harris

  1. beth

    Ndege ya Makamu wa Rais, Kamala Harris yatua muda mfupi baada ya kupaa

    Tatizo la kiufundi limepelekea ndege ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris kurejea Maryland takriban dakika 30 baada ya kuondoka kuelekea Guatemala na Mexico Air Force Two ilitua salama huku Harris akisema yupo sawa na wote walifanya maombi. Aliondoka kwa ndege nyingine saa moja na nusu...
Back
Top Bottom