Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
Wamarekani walishuhudia kasi aliyokuwa nayo Trump ya kushinda Urais, wakati mgombea wa Democrat alipokuwa Joseph Robinette Biden Jr.
Kuingia kwa Kamala Harris kumebadili kabisa mwelekeo; hasa ukizingatia kuwa Trump alikuwa anakazia udhaifu binafsi wa Biden kutokana na umri, na akajisahau...
Following President JoeBiden dropping out of the presidential race and Kamala Harris replacing him, we have seen opinion polls numbers pointing in favor of the democrats.
My take is that this woman will emerge winner in November. I say this basing on the new momentum she's injected in her party...
Tim Wallz ameteuliwa kuwa mgombea mwenza na Kamala Harris.
Safari hii naona Progressives wameangaliwa😁
---
Vice President Kamala Harris has chosen Minnesota Gov. Tim Walz to serve as her running mate in the 2024 presidential race—as Harris tries to gain ground on former President Donald Trump...
Like Hillary Clinton, Like Kamala Harris: Opinion Polls are Unrealistic
In American politics, few tools are as widely discussed and scrutinized as opinion polls. These surveys, intended to gauge public sentiment and predict election outcomes, often become central narratives in political...
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa kuibeba Democrat.
Tangu mwanzoni Kamala Harris hakupewa nafasi yoyote ya kuwa mbadala wa Biden. Biden...
Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala
Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris
Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald Trump ameshinda jimbo la Pennyslavania, jimbo ambalo kwenye chaguzi nyingi huamua nani atakuwa Rais...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris - ambaye anatarajiwa kuwa mteule wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa Novemba - amefanya kile alichokiita "mazungumzo ya wazi na yenye kujenga" na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Akiwa na sauti kali zaidi kuliko Rais Joe Biden, Bi...
Mambo yameshaanza kupamba moto kwenye mpambano mpya wa Trump vs Harris. Ambaye ameanza kuongelea utofauti mkubwa kati yao…amesema maneno hayo hapo chini…
Kama wengi wenu mnajua, kabla sijachaguliwa kama makamu wa rais, kabla sijachaguliwa kama seneta wa Marekani, nilikuwa mwanasheria mkuu...
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.
Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa...
Trump asijichetue kudhani kwamba Biden ndio anachagua mgombea Urais Bali amefanya pendekezo lake tu.
My Take: Wagombea watapigiwa kura na kama zisipotosha Kwa Kamala basi Kuna huyu mwamba hapa ndio favorite zaidi...
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats!
Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton?
Pia, soma=>...
Rais huyo wa Marekani mwenye miaka 80 ametangaza nia yake leo Aprili 25, 2023 licha ya utafiti ulifanywa na Kituo cha Runinga cha NBC kuonesha 70% ya Wananchi hawataki Biden agombee tena Urais.
Biden ambaye ni Rais Mzee zaidi katika Historia ya Taifa hilo, anatarajia kukutana na upinzani mkali...
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.
Chanzo...
29 March 2023
Dar es Salaam, Tanzania
Dr. Dennis A.K Muchunguzi, we are pleased that the Vice President of the United States has chosen to visit Tanzania....
Mwenza wa Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris Bw. Douglas Emhoff akicheza mpira wa Kikapu pamoja na kupiga Mpira wa Tuta (Penalty) mara baada ya kufanya ziara katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam Dar es Salaam leo Machi 30, 2023.
Waziri wa...
Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na Zambia.
Kitendo cha kioongozi huyo ambaye taifa lake lina nguvu kubwa Duniani kuichagua Tanzania kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.