Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba.
Kampeni hii, iitwayo ‘Food Pass’...