kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kauli gani ya vyama/wagombea ilikupa hofu wakati wa kampeni za uchaguzi?

    Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi. Mfano wa kauli za vitisho ni "Jino kwa Jino" "Moto utawaka siku ya Uchaguzi" Je, wewe mdau...
  2. TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  3. Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampeni ya kuwazawadi wateja wao wanaotumia huduma za Uber

    Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
  4. Dkt. Kikwete aipongeza GGML kuendeleza kampeni ya kudhibiti UKIMWI, akusanya Tsh. Bilioni 1.6

    Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh Bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa Harambee ya Kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa lengo la kukusanya Sh Bilioni 2.3 fedha zitakazotumika kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya...
  5. Mechi ya Fainali kwa Mkapa Yanga Vs Usm Alger kampeni na mikakati kabambe ianze mara moja.

    Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa. Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi...
  6. RASMI: Kwa Nini Marehemu Kachero Mbobezi Hakukimbia Zile Kampeni?.

    Tulikuwa tumekaa sehemu tunatafakari safari yetu ya maisha kwa hizi piga nikupige za hapa na pale, baadaye tunasoma breaking story ya kifo cha camaraderie Bernard Camirius Membe. Binafsi nilienda moja kwa moja kwenye kumbukukumbu za kampeni za urais mwaka ule ambao marehemu aliondoka kwa gafla...
  7. F

    Nawaza kwa sauti ikiwa huu ndio mkakati wa UPINZANI" Kumnanga Magufuli halafu 2025 kumtumia kwenye kampeni"

    Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM wanavyomchukulia Hayati Magufuli. Kama ndivyo basi CCM. Machoni mwa wengi sana Hayati Magufuli ni shujaa...
  8. Benki ya NBC yazindua kampeni mpya ya Shinda Mechi Zako na NBC

    Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi...
  9. M

    Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda. Eti tayari wameshampitisha Samia 2025. This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
  10. Hoja ya umri inaweza kuwa kikwazo kwa kampeni ya Joe Biden?

    Msemo unasema, muda haumngoji mtu, na kwa Joe Biden mwenye umri wa miaka 80, hilo linaweza kuwa tatizo. Je, rais wa Marekani anaweza kuwashawishi wapiga kura kwamba umri wake si hoja? Bw Biden alitangaza Jumanne kwamba anataka kuhudumu kwa miaka mingine minne katika Ikulu ya White House...
  11. Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

    Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo 👉Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi ...
  12. Ni wazi kwamba CCM imeanza mikakati ya kutafuta fedha za kampeni

    Kumeanza kuibuka wimbi la utolewaji wa ripoti za fedha za miradi ambazo zimekuwa na mashaka makubwa sana na hasa zinaumiza walipa kodi, kuna harufu ya rushwa na ibadhirifu mkubwa tu tena kwa miradi ambayo haina msingi sana. Mfano bajeti ya ukarabati tu wa ofisi ya makamu wa rais ambayo...
  13. B

    Mshindi wa kampeni ya SimBanking akabidhiwa gari aina ya Toyota Crown

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Kimweri (mwenye kanzu) akimkabidhi mshindi wa kampeni ya Benki ni SimBanking, Mayani Yahaya Hassan mkazi wa Dodoma funguo ya gari baada ya kuibuka kidedea katika droo iliyochezwa mapema mwezi huu. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB ambao walishiriki...
  14. T

    Kama Samia atagombea urais 2025 awekewe zuio yeye na chama chake wameanza kampeni za urais mapema. Mabango mengi hadi KERO!!

    Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha kuanza Kwa kampeni. Nashauri wagombea wenzie wamuwekee pingamizi wakati ukifika.
  15. N

    Kampeni ya kwenda shamba siyo ushamba

    “KWENDA SHAMBA SIYO USHAMBA, KWENDA SHAMBA NDIYO UJANJA COMPAIGN” UTANGULIZI Upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za vyuo imekuwa moja ya changamoto kubwa inayoikabili dunia ya sasa,ukosefu wa ajira kwa vijana umekuwa mwiba mchungu kwa serikali za nchi...
  16. Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

    Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana. Imekuwaje Google waseme Mo...
  17. Wanachofanya CHADEMA, NCCR, CUF, ACT, UDP nk ni kampeni

    WanaJf, Salaam! Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria. Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
  18. Naanzisha kampeni ya kukataa Bima ya Afya kwa wote

    Hili suala ni dhahiri serikali inataka kufanya biased na wananchi. Kama watumishi wa umma tu mneshindwa kutuhudumia vizuri mpaka tunapata dawa grade 3 & 4, sasa mkihudumia angalau 30% ya Watanzania hali itakuwaje? Zamani bima ya NHIF ilikuwa kama bakshishi kwa watumishi na toto afya ilikuwa...
  19. Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  20. Tetesi: Joseph Misalaba na kampeni chafu kuwania nafasi ya Ukatibu Naibu Mkuu ndani ya Chama cha Walimu Tanzania

    Kama ambavyo tumekua tukiendelea kufichua namna ambavyo uongozi wa CWT unatafutwa kwa mbinu chafu na namna baadhi ya watu walivyokihujumu chama, leo tunamleta kwenu Joseph Misalaba Mgombea wa nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu CWT. Mtajwa hapo juu ni katibu wa CWT wilaya ya Geita aliyeajiriwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…