Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo.
Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni ya ulinzi na kuanza kuiendesha kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 mwishoni,nilikuwa na wateja wa kawaida...