kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Biashara endelevu: Nini nini mtumizi na tofauti kati ya Kampuni, Entreprises, Investiment, groups na Limited (Ltd)

    Ni nini tofauti kati ya Majina haya yanapotumika katika baiashara mbalimbali: Kampuni, Entreprises, Investiment, groups, Limited (Ltd) Nini Faida yake katika biashara Utaratibu wake wa usajili Utaratibu wake wa kikodi katika biashara Changamoto zake katika biashara
  2. B

    Serikali yafurahishwa kuanzishwa kwa kampuni ya bima ya ‘CRDB Insurance Company’

    Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamaja (katikati) akifurahia uzinduzi rasmi wa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB inayotoa huduma za bima ‘CRDB Insurance Company (CIC) Ltd’ katika hafla iliyofanyika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam 18 Juni 2024...
  3. Samsung: Hii kampuni inachofanya ni sawa kweli?

    https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19 Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
  4. Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

    Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features. Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
  5. Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  6. Kujitolea kwenye kampuni hasa viwanda

    Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
  7. Uendeshaji kampuni: Kuongeza mwanahisa

    Habari ya mchana wakuu. Nimeona leo pia tuzungumze ama kujadili masuala kadhaa yanayohusiana na uendeshaji wa kampuni ili kuhakikisha kuwa kila kitu kipo sawa na hamuendi kinyume na sheria ili kuepusha matatizo yoyote ambayo yanaweza kuibuka. Sasa, kulingana na uhalisia wa kiutendaji na...
  8. Kampuni za mikopo ya mtandaoni zinatoa wapi namba zetu kwa sisi ambao hatujawahi kukopa?

    Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty. Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa. Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
  9. Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za Ulinzi

    Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii. Nini kinabainika? Kwa siku za hivi...
  10. UENDESHAJI KAMPUNI: KUMTOA MWANAHISA.

    Habari ya majukumu wakuu. leo nataka tuzungumzie suala hili kidogo kwani nimekua nikipata maswali juu ya suala hili kwa watu kadhaa kutoka hapa JF. Wengi wamekua wakiuliza namna ya kuwatoa baadhi ya wanahisa katika kampuni lakini wamekua wakikwama katika hilo kutokana na sababu mbalimbali hivyo...
  11. Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
  12. TANZIA Elinaike O. Ulomi amefariki Dunia.

    Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
  13. Mitungi Empty ya GAS 300 inauzwa Kampuni Mihan/Taifa

    Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas. Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000. Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas... Anahitajika Mfanyabiashara atakaeweza inunua kwa pamoja mitungi yote 300 na sio 200 wala 250 wala 270 bali ni yote 300. Bei...
  14. Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

    Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow. Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
  15. Naomba kujua adhabu kisheria ya kesi ya kuisababishia hasara kampuni

    Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria. Natanguliza shukrani
  16. L

    LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  17. Nizingatie nini napotaka kufungua Kampuni ya Usafi?

    Habarini ndugu zangu naitwa Laurian, Ningependa kuomba kujua vitu mbalimbali muhimu kuhusu Ufunguaji wa Kampuni ya Usafi. Je, naitaji kuwa na vibali kutoka wapi? Je, Unaweza kuanza kazi ukiwa na mtaji wa shingapi na wafanyakazi wangapi? Pia malipo yake yakoje kama iwapo ntafanikiwa wale...
  18. K

    Nampa maua yake DTO wa Korogwe ila Kampuni ya BM ijitafakari kuhusu huduma zao

    Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers) Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani. Picha linaanza...
  19. Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

    Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu. Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
  20. Kwenu kampuni ya bia Serengeti

    Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…