karume

Abeid Amani Karume (4 August 1905 – 7 April 1972) was the first President of Zanzibar. He obtained this title as a result of a revolution which led to the deposing of His Majesty Sir Jamshid bin Abdullah, the last reigning Sultan of Zanzibar, in January 1964. Three months later, the United Republic of Tanzania was founded, and Karume became the first Vice President of the United Republic with Julius Nyerere of Tanganyika as president of the new country. He was the father of Zanzibar's former president, Amani Abeid Karume.

View More On Wikipedia.org
  1. 98% ya Wazanzibar wanafahamu kuwa Karume ndio aliongoza mapinduzi

    Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita. Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo. Siku ya mapinduzi bwana Karume alikuwa upande wa bara hasahasa mitaa ya Magomeni. Huku katika kipindi hiki cha sherehe za mapinduzi...
  2. J

    Fatma Karume na wenzake waangukia pua

    WAANGUKIA PUA - ni Fatuma karume, Mwabukusi, Kambole, Tito Magoti na wenzao - walikimbilia CANADA kuishtaki Tanzania kupitia kampuni ya Twiga-Barrick wakitaka walipwe Mabilioni ya pesa - Jaji wa Mahakama hiyo awatoa nishai, awaambia Mahakama Tanzania ziko huru na zinaweza kusikiliza kesi hiyo...
  3. KERO Vipaza Sauti vya Karume vimekuwa kero kwa kelele, Serikali ichukue hatua

    Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa sababu vimekuwa vingi sana katika eneo moja. Ni heri waandike bei elekezi kwenye mabango madogo...
  4. M

    Siitaki siasa tena Part 2: Ali Karume wa kufukuzwa CCM?

    Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi. Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter Msigwa aliekuwa anawashambulia anakula kiyoyozi kizuri na neema nyingi. Siasa siitaki tena.
  5. Fatma Karume akiri familia yake kuchukiwa wazi wazi na Rais Mwinyi

  6. Kilio cha Fatuma Karume

    Eleweni, SSH kaendelea na kesi dhidi yangu. Kapeleka application ya kuomba muda wa kupeleka rufaa ili kuchukuwa leseni yangu MILELE. Anataka nisiingia Mahakamani Milele! Sijamtetea kwa sababu nataka LESENI. Hatonipa MILELE! Niliamini ni mtu mwema. That’s all. I was wrong...
  7. R

    law technicalities: Kesi ya Boniface Jacob- Kutoka Fatma Karume on - Framing a charge, if this is to be the way You will never WIN!

    Fatma Karume anasema: Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye BURDEN of proof. Can you prove a NEGATIVE beyond reasonable doubt? To make it easy for you DPP: Unaweza...
  8. Balozi Ali Karume: Siwezi kuvuliwa uanachama CCM na mdandia reli

    Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”. Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa...
  9. Z

    FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

    Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
  10. G

    Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

    Unatembea zako ghafla unaitwa, Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke. Mwisho wa...
  11. B

    Fatma Karume uso kwa uso na Kikeke, Rukii, yanayo endelea uchaguzi TLS, kuhusu maisha yake

    Fatma Karume atoa shule kwa waandishi habari na wananchi juu ya umuhimu wa TLS Tanganyika Law Society https://m.youtube.com/watch?v=6Ga1OhmOZNI Fatma Karume wakili bobezi aliyesajiliwa Middle Temple London, Mahakama Kuu Tanzania na Mahakama Kuu Zanzibar anatoa somo kazi kubwa ya TLS ni...
  12. Hukumu ya wanaodaiwa kuchoma Soko la Karume yasogezwa mbele hadi Agosti 2, 2024

    Hukumu iliyotakiwa kusomwa leo Julai 26, 2024 katika kesi ya jaribio la kuchoma soko la wafanyabiashara la Karume, Kesi Namba 313 ya Mwaka 2023 inayomkabili Christina Elisha na mwenzake Mashauri Ulomi imesogezwa mpaka Agosti 2, 2024. Hukumu hiyo iliyotakiwa kusomwa na Hakimu wa Mahakama ya...
  13. Fatuma Karume: Mnaelewa mnataka Urais wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na Mawakili?

    Fatuma KArume: Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza: *Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili? *TLS haiwezi kutunga regulations bila ya idhni ya AG. *Hamuoni AG anaingilia “Freedom of Association”? Sidhani nimeeleweka.
  14. U

    Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  15. B

    Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania. Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
  16. Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale...
  17. F

    ITV dk 45: Rais Karume akiri kuandaliwa kuwa Rais wa Zanzibar

    Rais wa zanzibar 2000 hadi 2010 Amani Abeid Karume, akiri kuandaliwa kuchukua wadhifa huo. Akihojiwa ktk kipindi cha ITV DK 45 leo usiku, amesema aliitwa na wazee na kuambiwa Dkt Salmin anamaliza muda wake "Tunataka wewe uwe Rais" Baada ya hapo alienda kuchukua fomu ya urais na ktk mchujo...
  18. Shehe: Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?

    Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza...
  19. KERO Soko la Karume limejaa madalali ambao wamekuwa kero kwa wanunuzi

    Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana. Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa wanakuvuta huku mara kule yaani wamekua kero sana. Wengi wao ni walevi na wavuta bangi. Pia...
  20. U

    Rais Samia akutana na Mama Fatma Karume

    Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar. Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa taasisi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…