Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo...
Salaam, Shalom!!
Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza.
Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali.
Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
Habari za muda huu ndugu yangu
Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu.
Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Mimi nasema hivyo ni vitisho tu, kanyagieni hapo hapo msinyanyue mguu tupo pamoja na ninyi, maana hata sisi...
Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana.
Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
"Baada ya Juzi Wachimbaji hawa Kuingia Chini Shimoni walikuta Madini ya Dhahabu ila kukaonekana kuwa hali ya Kule chini Kimazingira haikuwa Salama hivyo walivyopanda Juu na. Kuielezea kwa Wataalamu na Viongozi ilishauriwa wasubirie Kwanza ili Kuwatengenezea Mazingira mazuri ya Kiusalama Kwao...
Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho....
NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria?
Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano...
Wanabodi,
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L
Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not...
Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo.
Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu.
Mtakumbuka miaka kadhaa...
Muhimu: Kiingereza ni lugha sio kipimo cha akili au mafanikio, Faida ya kumpeleka mapema mtoto shule ya kiingereza ni sawa na kukijua kiswahili mapema kwenye kijiji wanachoongea kisukuma
Nikiwa shuhuda mwenyewe, binafsi nimesoma shule ya english medium nami nimekuwa mkubwa najinyima kuwapeleka...
Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki
Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki.
Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo....
1. Kusema Kwake kuwa...
Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki.
SIJASIKIA kauli ya TEC, je, wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza...
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani...
Kristo.
Kuhusu wapenzi wa jinsia Moja Papa anasemaje?
Ukweli uko hapa!
"Fiducia suplicans". Ni barua alioandika papa juu ya maana ya Baraka katika uchungaji.
"On the pastoral meaning of blessings"
Katika barua hiyo papa aliandika kujibu maswali ambayo watu wanauliza Sana Kanisa sasa...
Naunga Mkono kauli hii Kabambe ya RC Chalamila
---
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewapongeza wamiliki wa baa na kumbi za starehe kwani uwekezaji wao umetoa ajira kwa watu wengi, na kwamba wakati mwingine ladha ya bia inategemeana na mhudumu.