Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.
Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast.
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch...
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa .
Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara.
Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
Habari wanajamii,
Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿,
Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu wanaamini watajaziwa pesa kwenye mito wanayolalia waamke wazikute kama mapera.
Wengine hata...
Habari za asubuhi wapendwa.
Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba msaada.
Angalau niweze kumudu gharama za kukaa hapa Dodoma. Nipo tayari kuwasaidia fundi au kufanya...
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi .
Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
Wadogo zangu ambao ni fresh graduates mnaokaribia kuanza kazi au mpo kazini ila ni wachanga hapo ofisini, kamwe usimuibie boss wako. Hiyo ni laana.
Kama unaona mshahara pamoja na bonuses zingine hazitoshi, please acha kazi kisha uende ukatafute kwingine kwenye maslahi mazuri zaidi ya hapo...
Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa
Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo
1. Kiungo mkabaji
Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki
Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa
Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa...
Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa Gusa Achia Twende Kwao mwanzo mwisho na kama refa angaliongeza dakika 10, Gusa Achia Twende Kwao...
Wakuu,
Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo.
Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga...
Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.
Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.