Salamu wakuu.
Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.
Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad.
KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze...
Tangazo la Kazi - Jiunge na Timu ya WhyNot In Lounge and Kitchen!
Tunakukaribisha kujiunga na timu yetu yenye ari na ubunifu hapa WhyNot In Lounge and Kitchen, iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo:
📌 Mpishi Msaidizi
📌 Bartender/Counter Staff...
Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
UHURU NA KAZI: UANZISHWAJI WA "MTIRO HIGH SCHOOL" KIJIJINI BUSEKERA
Jimbo la Musoma Vijijini limeamua kuongeza idadi ya "High Schools" hasa za masomo ya sayansi kwa kujenga na kuboresha miundombinu ya elimu kwa baadhi ya sekondari zake za Kata.
Idadi ya "High Schools" Jimboni mwetu:
(i)...
Bint wa miaka 24 yupo Moshi anatafuta kazi yeyote halali
Elimu yake Kidato cha Nne
Certificate ya tourism
Mchapakaz na mchangamfu
Anaweza kufanya Kazi yeyote ambayo haidhalilishi utu wake
Kama unamuhitaji naomba unicheki Pm
Ahsante Kwa msaada wako
Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale.
Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho.
Kwa...
Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi.
Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena.
Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia.
Line nilizonazo ni...
Kwa wenye mnajua ngeli twende kazi.
Mr magical power, post and hide id.
I want you guys to tell me if my husband really loves me. Immediately I was married my hubby and his mother brought me two young kids of theirs to stay with us..
I got pregnant and went to the village to give birth and...
Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya
Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI
TAMISEMI na serikali toei ajira kweli!
Wakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza
nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na jikoni ni laki moja kwa kuanza.Kulala ni hapo hapo kazini.Ofisi zipo Tanga wilaya ya Pangani
Kwa...
Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia!
Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital graphics), video fupi, na sauti (audio) kwa ajili ya utambulisho (branding) na utangazaji wa biashara...
Naombeni kazi ya uuguzi
Mimi ni msichana wa miaka 25 muuguzi ngazi ya degree mwenye valid licensure Nina uzoefu wa kutosha natafuta kazi iwe hospital au kwenye shirika au chuoni kufundisha
Mawasiliano 0620686518
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo.
Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu.
Napatkana Dar es Salaam
Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
Jamani hebu tujaribu kuorodhesha kazi zenye laana hapa Tanzania kutokana na majukumu ya kazi husika. Tusiweke kazi haramu kama uchangudoa, ujambazi, n.k.
Tutaje zile ambazo ni halali.
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko MV. CHATO II HAPA KAZI TU kinachotoa huduma katika maeneo ya Chato, Mharamba, Izumacheli na visiwa vya jirani kuwa, kivuko hicho kimesimama kutoa huduma kuanzia majira ya saa nne na nusu asubuhi kutokana na kunasa kwa...
Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali.
Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.