Habari zenu wakuu.
Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu.
Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive.
Sifa zangu ni...
Natumaini ni wazima wote.
Ndugu jamaa na marafiki embu angalieni mnanisaidiaje na hii fani na uzuefu nilionao kwa nguvu zangu nimekwama.
EXCAVATOR OPERATOR uzoefu miaka 5
WHEEL LOADER uzoefu mwaka1
pia naoperate LLOLER
NABIDII NIWAPO KAZINI
NATAMANI SANA KUPATA MASHINE YA MTU BINAFSI...
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko...
1. Kazi yako ni kutii amri za watawala
Unaamka asubuhi unamuga mkeo na wanao unaenda kazini
Kazi yako ni kuteka na kuuwa Watanganyika wenzako, mtu mweusi kama wewe, tena unamnyonga na kamba akikwambia Fulani nisamehe Bado Nina mke na watoto wadogo lakini wewe unaamua kumwaga damu yake...
Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu.
Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
Wakuu
Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza mambo mengi nikiwa chuoni, natamani kupata sehemu ya kufanya mazoezi ya kazi, hasa katika upande wa...
Wakuu kwema??
Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job
Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview
Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa?
Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi?
Hii...
FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile.
Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile.
Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili.
Asanteni
Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya
ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery
Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse
Jinsia: Male
Email: avicboston@gmail.com
PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli
Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k...
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji.
Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao.
Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona kipigo cha Tabora na kuepuka kufukuzwa kazi?
Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.