Camara
Aishi Manula
Ayubu Lakred
Husein Abel
Ally Feruz
Ally Salim katoro
Hii huenda ikawa rekodi ya aina yake,kwa nini wasibaki wanne tu mkasajili wachezaji wa ndani
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amempatia zawadi ya pikipiki mpya aina ya SAN LG Msaidizi wake wa Ofisi (PS) Florenciana Kagya, kutoka na kazi nzuri anayofanya na kujituma katika ofisi yake.
Kihongosi amesema kuwa ameamua kutumia mshahara wake kumnunulia msaidizi wake huyo zawadi ya...
Wanabodi
Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa...
Hii kazi ina mshahara mdogo sana. Ni pesa ambayo bodaboda wanapata kwa wiki mbili au tatu. Acha tu, mungu wasaidie walimu wanaishi maisha ya ajabu sana, Kila mwaka madarasa yanajengwa ila huwez kukuta nyumba za walimu zinajengwa
Madarasa ya vioo na tiles Ila nyumba za walimu mbovu sakafu...
Ikiwa zimebaki siku mbili tu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa taarifa kuwa Jumatano ya Novemba 27 ni siku ya kazi kama kawaida Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa na ikulu
Soma pia: LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa...
Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,,
Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga +...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
Habari wakuu. Natafuta kazi za kuedit research, papers, proposals, business plans, vitabu etc. Kazi zangu ni nzuri. Pia Nina andika project proposals na business plans kwa Bei nafuu Sana. Nipo Dar.
Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina umri wa miaka 25, elimu yangu ni stashahada ya utabibu, ninatafuta nafasi ya kazi, ninao utayari wa kufanya kazi mkoa wowote, iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi...
Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya Dotto Biteko akizungumzia malengo ya CCM kwenye Uchaguzi huu.
Tunajua nini wataenda kufanya. Ni kama marudio ya 2019.
Ushindi wa asilimia 99.99
Nafasi
Tutors (Diogonostic radiography na Nursing), Receptionist na Networking
Sifa za Mwombaji
Elimu ngazi ya diploma na kuendelea
Maombi yote yatumwe kupitia
Email: info@nyaishozicollege.ac.tz
au
Whatsapp: 0745009792
Naombeni Connection ya kazi ya Udereva IT...
Nimejaribu kufatilia changamoto ni-
Natakiwa kujulikana na Dereva wa katika kijiwe nlichoenda kuomba
Udereva wowote wa wa gari Ndogo pia naweza pamoja na Kazi nyingine
Naombeni msaada ndugu zangu
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi.
Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro.
Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri...
Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF.
Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia.
Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?.
Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini.
Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China.
Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo
- Ushindani wa kiuchumi, marekani anahitaji kufanya kila namna kudhibiti ukuaji wa uchumi wa kwa miaka mingi ijayo ili isizidi kuwa...
KAZI YA DEFROSTER BUTTON
kwenye gari ni kukausha au kuongeza joto ili kukausha vioo vya gari wakati wa hali ya mvua au unyevunyevu unaosababisha vioo kuwa na ukungu au majimaji na kukuziba kuona vizuri nje.
HIZI BUTTON HUWA KWENYE DASHBOARD YA GARI MFANO
Namba 1. Ukibonyeza hiyo button...
Pole Baba angu mzuri na kazi, asante Mungu Baba kunirejeshea salama furaha hii ya moyo wangu akiwa salama. Nakupenda sana baba angu mzuri, nimefurahi sana kukuona ukiwa mwenye tabasamu 💕. Nikuondolee hizi uoge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.