kazini

  1. Madwari Madwari

    Tafuta hela Rais anashinda na mtoto wako ,wewe ukiwa busy na mambo yako ya kazini

  2. M

    Swali: Je, tarehe 17 siku ya kumkumbuka shujaa wa Africa ni sikukuu ya umma.? Na sisi watumishi hatuendi kazini?

    Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
  3. Lutah25

    Jeshi la Polisi Tanzania litoe taarifa kuhusu askari waliopewa tuzo na Mahakama Kuu ya kurejeshwa kazini.

    Septemba 10,2024 Mahakama Kuu ilitoa uamuzi wa kuwarudisha kazini Askari watatu kama taarifa ilivyojieleza kwenye mtandao wa Mahakama ujulikanao kama TanzLii (Home - TanzLII) ambapo majina ya askari hao na sababu ya uamuzi uliotolewa vyote vimebainishwa katika taarifa hiyo. Baada ya uamuzi...
  4. Magical power

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii.

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata...
  5. Jamii Opportunities

    Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. Talent sourcing solutions UTUMISHI is a government organization...
  6. Mohamed Said

    Watoto wa Kazi Kazini: Ona Stories na Historia ya Bibi Titi

    VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum. Kwa kiasi changu naweze kusema nazijua studio na watu wake. Lakini na narudia lakini, studio hii niliyotia mguu leo...
  7. holoholo

    Picha maalumu za mihangaiko uchakalikaji na pilika kazini

    Tupia picha yeyote inayoonesha ukichakalika kazini iwe mgodini,dukani,sokoni,ukichunga mifugo,au popote pale karibunipicha: shamba la tumbaku katika moja ya kata mkoani tabora
  8. Donnie Charlie

    Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini

    Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni. Mwalimu huyo wa Sekondari aitwaye Vincent Onyancha amesema alifanyiwa vurugu mbele ya wanafunzi wake darasani wakati akifundisha...
  9. L

    Tatizo la kuchukiwa kazini

    Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia. Mimi sio mvivu...
  10. Cute Wife

    Kama mzazi angekua anaitwa kila unapozingua kazini mzazi wako angekuwa ameshaitwa mara ngapi mpaka sasa?

    Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂 Ila waalimu...
  11. Yoda

    Huko Marekani ni rahisi sana kuwatimua watumishi wa umma kazini!

    Musk, DOGE yake na Trump wanatimua kazi wafanyakazi wa umma mpaka wanasahau wanapitiliza inabidi wawatafute kurudi kazini tena🤣!
  12. Yoda

    Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

    Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana! Haya madai yana mashiko?
  13. LIKUD

    Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

    Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters. Na rafikiye ana Masters pia. Walikuwa wanafanya Kazi idara moja. Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo. Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe. Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters.. This means what? Elimu ya...
  14. N

    KUMEKUCHA! KUMEKUCHA WALIMU WAPYA.

    KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
  15. Z

    Njia gani nzuri ya kutatua changamoto kama hii kazini kwangu?

    1. Bosi wangu ananifokea Sana kwamba sijui kazi ilihali ni kitu nilichosomea na najitahidi kuonesha juhudi 2. Bosi wangu ananifokea Sana hata kwa makosa ambayo kayafanya yeye mwenyewe kwa uzembe 3. Natumia kila njia ili niwe mfanyakazi mzuri na kumfurahisha bosi wangu lakini Bado anakuwa mkali...
  16. W

    usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  17. J

    Jinsi ya kushinda vikwazo au chuki kazini

    Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
  18. Expensive life

    Kuwazidi mshahara kidogo tu kumenitengenezea maadui kazini.

    Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu. Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
  19. nipo online

    Kazini kwangu mwalimu wa sayansi alietegemewa kapigwa chini sababu alienda interview bila ruhusa

    Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,. Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss. Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana...
  20. AbuuMaryam

    Majina yangu matatu kamili yametoka katika walioitwa kazini na sikuomba, hii imekaaje?

    Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu? Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Back
Top Bottom