Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu...