Habari wapendwa?
Tafadhali naomba ufafanuzi wenu juu ya hili
Je, nini maana ya Part time worker? Na sheria ya kazi imetafsiri vipi juu ya Part time?
Na je, Huyu Part time worker ni lazima akatwe pesa kwa ajili ya mifuko ya akiba ya kijamii?
UJUMBE KUTOKA KWA BINAMU YANGU.
Siku mbili tatu hizi, nilibahatika kupata kazi, kazi ya kusimamia apartments, kuangalia usafi, garden, luku, maji na vitu kama hivyo.
Usiku uliopita nimeota ndoto nimeokota 10,000. Leo boss kanipigia asubuhi kwamba jana alikuwepo apartments, na bahati mbaya...
He'll
Kazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma
Kwanini nimesema hivi nnapo fanya kazi kuna vitengo vingi lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya...
Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini.
Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe.
Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini...
Utangulizi:
Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea mabadiliko hayo na kuleta maendeleo endelevu. Andiko hili limeandikwa kwa maneno hayazidi 100.
Sehemu ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na kinalaani vikali tukio la kushambuliwana, kujeruhiwa na kuporwa mali Wanahabari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), lililotokea Julai 22, 2023, maeneo ya Temeke, mkoani Dar es Salaam, wakati waandishi wa habari wa chombo hicho...
JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI.
Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza.
Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu au walishapitia naomba Mnisaidie hapa.
Mfano mtu amemaliza Diploma then akapata kazi akaajiriwa, je anaweza soma Degree akiwa...
Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma
Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 21 Aprili, 2023 na kufungwa tarehe 04 Mei, 2023 kwamba taratibu za kuchambua maombi ya kazi zimekamilika.
Waombaji wote waliofaulu na ambao majina yao...
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.
Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
Habarini,
Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo.
Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewaita kazini walimu 13,130 kwa ajili ya kufundisha wanafunzi katika ngazi ya shule za msingi na sekondari.
Orodha ya Waombaji ajira iliyochapishwa leo Juni 5, 2023 katika kurasa 515 imehusisha walimu ambao pia wamesoma na kuhitimu...
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani imeeleza kuwa malipo hayo yalifanyika katika kipindi cha Julai 2022 hadi Mei 2023, kupitia mfuko wa Tuzo na Tozo wa Jeshi la Polisi.
Kati ya fedha hizo, Tsh. 948,335,400 zimelipwa kwa Askari 217 walioumia kazini na kiasi cha Tsh. 252,000,000...
Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi.
SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida.
Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
Kwenu wanasheria.
Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili!
Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo.
Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.