Merhaba!
Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki.
Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
Kumekuwa na unyanyasaji sana kwa watoto wetu wanaochukuliwa kwenye Ofisi za Serikali kwa ajili ya mafunzo ya kazi (internship programs).
Ukienda sekata binafsi kuna nafuu kubwa sana sana hasa kwa waajiri wale wa uhakika. Vijana wanaochukuliwa Serikalini hata wanaotokea Taesa hawana chochote cha...
Nikiwa shuleni kwa muda mref sana sikuweza kupata rafiki wa kike katika shule yetu ya mchanganyiko. Rafiki zangu wote walikuwa na girl friends. Siku moja rafiki yangu mmoja akaniambia, ukitaka msichana akupende msifie, hata kama unachomsifia sio kweli. Sasa nenda kajaribu hilo uone kama hutapata...
Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali.
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi.
Inaletwa kwako na Nyagawa, J (Mwanasheria)
Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini...
Kutorekebishwa kwa mishahara hata baada ya kupandishwa cheo kwa askari wa Jeshi la Polisi, kumezua malalamiko kwamba hali hiyo inaathiri mafao yao wanapostaafu.
Licha ya kilio hicho, kwa upande wa askari wa usalama barabarani wao wanalia kufutiwa posho ya pango la nyumba tangu Julai Mosi...
Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na tamko la pamoja la kisera la WHO na ILO, yanakadiria kwamba takriban siku bilioni 12 za kazi hupotea...
Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji.
Wachezaji Yanga wameingiwa na hofu ya kucheza kwa kujituma kwa kuhofia kupata majeraha mabaya, na hii ndio sababu wachezaji wa...
Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu.
Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua.
Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya akili, wafanyakazi wengi wa afya wanakabiliwa na matumizi mabaya ya dawa za kulevya.
Takriban...
Watu wako frustrated majumbani. Hawakupewa elimu jinsi mambo yatakavyokwenda. Mtaani kwetu hadi alasiri leo hakuna karani hata mmoja kapita, lakini nikiingia Twitter na Instagram naona makarani wamepiga picha na Rais, Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi mbalimbali wa taasisi za serikali.
Leo...
Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno.
Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu.
Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
Amani iwe nanyi wanajukwaa
Bila kupoteza muda ninaenda kwenye mada.
Niliwahi kutoa uzi hapa jukwaani juu ya mtuhumishi aliyetuhumiwa na DPP kwa kesi ya uhujumu lakini ameendelea kushikilia ofisi kama afisaelimu kata.
Mwalimu huyo ameenda mbali zaidi kwa kumkaimisha mtumishi mwenzake ofisi...
Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa Waziri JENESTER Mhagama tukutane hapa.
Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu.
Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.