Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa
Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio...
Ni mara ya pili natumiwa ujumbe huu: -
Hello, you have been selected for a part-time / full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/martina669
Mara ya kwanza nilipuuzia ujumbe huu ambao ulitumwa kwenye simu yangu kwa kuwa nina hakika ni wa kitapeli. Nifahamuvyo hukuna kazi...
Wadau habarini!
nimepata barua jana toka utumishi; wamenipa check namba na kunishauri niombe sekretarieti ya ajira au taasisi yoyote inayohusika na ajira serikalini ili waweze kunipangia kazi kulingana na mahitaji yaliyopo. Swali je watakuwa na connection gani ya kutambua kwamba nimeomba? ili...
Hizi Ajira za Sensa ambazo sifa Ni nyepesi Sana. Hivyo waombaji watakua wengi itakayopelekea kuongeza ushindani. Tutarajie matapeli kuiltambaa na beat ili kuwapiga hao "makarani tarajali"
1. Tapeli anatumia Gmail.
2. Mchango @35,000 (malazi na chakula).
3. Picha je?
Habarini, naomba kufahamu kwa anaerejeshwa kazini upya je anastahili sifa gani na je suala lake linaweza kushughulikiwa wastani muda gani? Swali hili liwaendee haswa wafanyakazi wa GSO Utumishi na wengine wanaofahamu.
Uzi tayari!
Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?
Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu kada za self microfinance fund mbona hawaitwi kazini kwa waliofanikiwa interview. Maana zilifanyika pamoja na za brela ambao wameitwa tayari kazini pia kuna watu wamefanya interview siku za hizi karibuni na wameitwa pia. Walisema wiki 2 hadi 3, tembelea website...
Wengi tunapokuwa kazini yapo maisha ambayo yanasababisha majuto kwa baadae. Hali hiyo inawatokea wengi sana hasa vijana wanaopata kazi mapema, mwisho wake wanaishia katika majuto.
Unachopaswa kujua au kuelewa, upo msingi wa maisha unatakiwa kuishi nao unapokuwa kazini ili baadae usije ukaishi...
Machapisho mbalimbali yanaitafsiri Kazi kama ni seti ya shughuli ambazo zinafanywa kwa ajili ya kufikia lengo, kutatua shida au kuzalisha bidhaa na huduma ili kukidhi mahitaji ya binadamu.
Aidha, neno kazi linatokana na Kilatini utatu, ambapo kwa wakati huo kulikuwa na kwa zamu ya safari tatu...
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.
Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi...
Wadau habari za siku nyingi, mimi ni miongoni mwa wadau wanaotarajia kurejeshea kazini upya.
Nimepambana vya kutosha ishu ni kwamba mpaka sasa sijapata jibu la mwisho ukiangalia ni miaka zaidi ya minne mpaka sasa ishu yangu naambiea iko kitengo cha usalama Utumishi je ni mpaka lini au ni Mambo...
Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf?
======
#HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
Habari!
Dar es salaam ina kanda kuu kama nne hivi, KANDA YA GONGOLAMBOTO na viunga vyake, KANDA YA MBAGARA na viunga vyake, KANDA YA MBEZI BEACH na viunga vyake na KANDA YA MBEZI LOUIS/KIMARA na viunga vyake.
Serikali ijenge barabara katika kanda hizi.
Barabara ziwe za kulipia angalau...
Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa na wengine kupoteza kazi kwa utashi wa WATU wachache walioelekezwa kufanya walivyofanya.
1. Wapo...
Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze.
Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.