kelele

  1. T

    Mbona kelele zinazidi kuna shida gani!?

    Nimekaa na kutafakari sana bila majibu, hasa kuhusiana na namna malalamiko yanazidi kuongezeka mitandaoni. Ukiyasikiliza kwa makini hayo malalamiko lazima yakuchanganye. Wapo wanaoona Hali ni shwari na wanaona tunaelekea kuzuri. Wengine wanaona tumepotea na tunazidi kupotea hivyo tunahitaji...
  2. T

    Kelele za wizi wa mali za umma zimezidi sasa, ni wizi wizi wizi kila mahala

    Ndani ya kipindi kifupi tunasikia taarifa ya wizi wizi wizi wa mali za umma kila kona, kila mahala na mbaya zaidi na watu wakubwa kabisa. Juzi hapa tulisikia mkurugenzi huko Gairo wa halmashauri ameiba Nondo na Simenti na akazirudisha baada ya kuombwa na waziri Mkuu. Leo hii kelele za wizi wa...
  3. Upungufu wa maji mijini ndio kelele zote hizi? Huu ndio ubinafsi wa hali ya juu

    Wiki mbili mfululizo sasa kumekuwepo na kelele nyingi kila kona ya nchi kuhusu upungufu na mgao ya maji katika miji na majiji. Katika maeneo ya vijijini sehemu nyingi za nchi maji limekuwa tatizo kubwa toka nchi hii inapata uhuru lakini hatujawahi kusikia kelele na mayowe kama wiki hizi mbili...
  4. Nilichogundua kwenye kelele zinazoendelea hapa nchini

    NILICHOGUNDUA KWENYE KELELE ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI Na, Robert Heriel. Taikon wa Fasihi Mayowe kila upande, Kusini hakuna umeme! Mashariki hakuna maji, Kaskazini Tozo Magharibi vifurushi Chini Mafuta Juu mlipuko wa bei! Kelele siku zote zinamzunguko na mhimili wake. Hata hivyo kuna namna ya...
  5. Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    Kwanza kabisa naomba tuyaelewe haya makundi matatu KUNDI LA KWANZA - ALIEJIAJIRI / SELF EMPLOYED Huyu biashara inamuhitaji ili iende, yeye ndie ngvu kazi kuu ya kuieiendesha biashara kwa bidii yake na hata akiajiri bado yeye inabidi ahusike kwa level ya juu sana ili biashara iende, Wengi wao...
  6. Anapiga kelele sana mpaka naona aibu

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana. Aisee Mke wangu wakati wa kunyanduana anapiga Sana kelele mpaka ananiondolea stimu maana nilishafanya tathimini kujua kama sauti inasikika nje nimegundua majirani Wanasikia sana na mimi muda wangu wa kupeleka Moto ni usiku na mida hiyo...
  7. Kelele zimezidi Wilaya ya Ubungo

    Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili. Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya...
  8. Kwanini watu hupigia kelele ushoga tu na kusahau makundi haya?

    Habari! Kuna makundi 2 kama si 3 yamesahaulika ingawa wanachokitenda hakina utofauti na ushoga. 1. Wanawake wenye tabia za kiume Hili kundi limekuwa kubwa sana na linakua kwa kasi. Vibinti vinavaa suruali, t-shirt, na nguo zingine za kiume. Hawa hata misibani hawakai kwa wanawake wenzao...
  9. B

    Urais ni responsibility, uwajibikaji uondoa kelele kwenye Urais: Ukaripiaji uongeza kelele

    Urais ni siku zote ni kubeba majukumu, Urais ni uwajibikaji, Urais nikutoa huduma kwa watu. Hakuna namna Urais utakosa kutupiwa lawama hata kama utafanya mazuri mengi kiasi gani. Tatizo la Tanzania tumeondoka kwenye principles za Urais tumekeza kupambana na ukosoaji bila kujua hata Rais...
  10. Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  11. Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

    Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
  12. Kelele za Tundu Lissu akiwa Ubelgiji ni sawa na fimbo ya mbali isiyoweza kuua nyoka. Arudi bongoland kuweka mbinyo wa kisiasa

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua. Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania. Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
  13. Zile kelele za Chato kuwa mkoa zimekomea wapi?

    Kipindi Mh. Magufuli katutoka kulitokea malumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule uhayani Prof. Tibaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote. Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa. Ndugu zangu...
  14. Hivi kuna njia rahisi ya kuepuka kelele za nje kwenye recording?

    Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu. Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo. Nimejaribu google na...
  15. Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  16. P

    Kelele za wanafunzi darasani huwa na viashiria

    Mwalimu Mkuu huwezi kuunda tume ya kuchunguza KELELE za wanafunzi wakati umezisikia kuwa; 1.Monitor haandiki majina ya wapiga kelele 2.Mwl wa darasa hawasikilizi wanafunzi 3.Mwl wa nidhamu hawajibiki ipasavyo. Kutokufundishwa na Mwl wanafunzi wataanza kuongea wao kwa wao mwisho huzaa kelele.
  17. Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

    "Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda Kamati ili kuliangalia hili na itakuja na majibu muda si mrefu" Rais Samia. Hasira yangu na Uchungu...
  18. Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

    Habari wadau..! Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi . Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa. Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama...
  19. Nimegundua haya Mawili tu yangefanyika katika Vichwa vya Watanzania wote wala hizi 'Kelele' za 'Chura' tusingezisikia kabisa

    1. Nguvu yao kubwa Watanzania kupenda ( kushadadia ) sana Umbea na Mambo ya Kingumbaru ( Kijinga ) na Kipopoma ( Kipumbavu ) wangeiwekeza zaidi katika Kupenda kulipa Kodi Vizazi kwa Vizazi wala lawama hizi zisingekuwepo. 2. Ule muda mrefu ambao Watanzania waliutumia Kumjadili sana Diamond na...
  20. NEMC kufanya msako wa wanaopiga kelele nyakati za usiku kwa kiwango kilichozidi Desibeli 40

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaanza msako wa kukamata na kuwafikisha mahakamani wanaopiga kelele za kiwango cha juu usiku kinachozidi desibeli 40 . Msako huo unafanywa nchi nzima katika maeneo tofauti ikiwamo nyumba za ibada,kumbi za starehe, klabu, baa, mitaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…