Yani nimesumbuliwa na kelele hadi usingizi umekata, kila nikivuta usingizi nashituliwa na kelele za watu, mara wasichana wengine walikuwa wanasukana kolidoni, aisee nyumba za kupanga ni kero.
Nilichofanya sijasemesha mtu, now wanapambana na Dundo la Nguvu la mziki, yaani lile la kutetemesha...