kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Kenya yavunja Mikataba na Adani (Ruto aagiza taasisi husika kutafuta watoa huduma wengine kwa mchakato wa Upanuzi wa JKIA)

    Rais wa Kenya William Ruto, ameagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India. “Nilishawahi kusema huko nyuma, na narudia tena leo kwamba kutokana na ushahidi usio na shaka au taarifa za kuaminika kuhusu rushwa...
  2. Gautam Adani na kashfa ya rushwa Marekani: Je, ni nini hatma ya TANESCO na PPP ya David Kafulila, tenda apewe au atoswe?

    === Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji...
  3. W

    Ulinzi na Usalama waimarishwa Kenya baada ya funu za Maandamano kufanyika leo Rais Ruto akiwa anahutubia Wananchi

    Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa mitandaoni Aidha, Jeshi la Polisi (NPS) nchini humo lilitangaza Novemba 20, 2024 kuwa Maandamano...
  4. Uganda: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya

    Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi. Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
  5. Nairobi: Kamishna Mkuu wa TRA atembelea Ubaloz wa Tanzania nchini Kenya

    Baada ya kikao cha Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda ametembelea ubalozi wa Tanzania nchini humo na kuwashukuru watumishi wa ubalozini kwa kazi ya uwezeshaji wa shughuli za kibiashara...
  6. Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  7. Kauli hii ya Hayati Jomo Kenyatta inaweza kuwa kweli kuhusiana na Tanzania?

    "Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao" "Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake" "Watanzania ni sawa na MAITI kamwe hawawezi kudai haki zao!!!" Kauli hii ya Mzee wetu inaukweli?
  8. Kwanini China nchi ya kidikteta ina maendeleo makubwa kuliko Kenya na Zambia?

    Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
  9. Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

    Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa. Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
  10. Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
  11. Jamii ya wapemba yatambulika rasmi nchini Kenya kama Raia

    Leo tarehe 15/11/2024 jamii ya wapemba imetambulika rasmi Kama raia na wamepewa vitambulisho vya Taifa la Kenya. Hivyo wapemba wote wanaoishi kwenye Kaunti ya Kwale, Lamu, Kilifi na Mombasa watakuwa na haki sawa Kama wake ya wengine Kama kumiliki Ardhi. Hongera Serikali ya Kenya kwa kuwatambua...
  12. L

    Mtaalamu wa Kenya asema biashara na China imeboresha maisha ya Waafrika

    Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika. Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
  13. Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  14. W

    Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  15. Karibuni Namibia itakuwa kama Kenya, Sudan, Nigeria, South Africa, DRC, Somalia, Ethiopia n.k

    Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki. Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo wanaingia bungeni na kuchoma bunge. Nilichogundua kumbe serikali nyingi za Africa ndizo chanzo cha...
  16. G4S Kenya kupunguza wafanyakazi angalau 400 kutokana na hali ngumu kiuchumi

    G4S Kenya imetangaza kuwa itapunguza angalau wafanyakazi 400 kufuatia kupungua kwa biashara kunakosababishwa na athari za changamoto ngumu za kiuchumi, hali ambayo imesababisha kupungua kwa mapato na gharama kubwa za kuendesha biashara. Barua kutoka G4S Kenya kwa Wizara ya Kazi iliyoonekana na...
  17. Kenya yachelewesha marejesho ya Mkopo wa SGR, yapigwa faini na China, Tsh. Bilioni 34

    Wakenya watalazimika kulipa zaidi ya KSh 1.7 Bilioni kama faini kwa kuchelewesha kulipa mkopo wa reli ya SGR kutoka kwa Benki ya Exim ya China katika mwaka wa fedha wa 2023/24. Hii ni kutokana na mkopo wa KSh 167.5 Bilioni ambao Shirika la Kenya Railways limeshindwa kulipa, ukichukua asilimia...
  18. Watanzania wakamatwa Kenya wakiuza Pembe za Ndovu

    Maafisa wa Huduma ya Wanyamapori ya Kenya (KWS) huko Mombasa wamewakamata raia wawili wa Tanzania kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu zenye thamani ya Ksh milioni 3.3. (Takriban Tsh. Milioni 56) Katika operesheni ya pamoja na maafisa wa Kituo cha Polisi cha Mtwapa...
  19. Ratiba ya Mitihani Kidato cha 4: Kenya Vs Tanzania

    Ukiziangalia tu hizi Timetable utajua ni kwa kiasi gani mitaala yetu ilivyo famba. Bado tuna safari ndefu sana.
  20. M

    Japokuwa Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya, ila wanafunzi wanaohitimu Tanzania ni wachache kuliko Kenya. Sababu ni nini?

    Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024 Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731. Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko. Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…