kero ya maji mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza kuwa na changamoto ya maji ni aibu kubwa sana kwa jiji lenye vyanzo vingi vya maji kama hili

    Nakariri maneno ya Hayati Robert Nesta Berhane selasie Malery alisema katik Rat Race " I abudance of water the fool is thirsty". Kwamba mji wa Mwanza ulioko pembezoni mwa Ziwa victoria, likisemwa la tatu kwa ukubwa duniani na ambalo linatiririsha maji yake kupitia Ethiopia, Sudan hadi Misri...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Samahani kwa usumbufu utakaotokea, ila nina jambo la moyoni ambalo nahitaji kulitoa. Kwangu mimi na kwa jamii inayonizunguka, limekuwa likitusumbua sana. Ni kwamba hatuna pa kusemea matatizo yetu moja kwa moja, lakini namshukuru Mwenyezi Mungu kwa uwepo wa mtandao huu pendwa wa jamii...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Wananchi Nyegezi, Mkolani na Buhongwa kuna uhaba wa maji zaidi ya wiki nne. Hakuna taarifa rasmi kutoka mamlaka

    Kwa zaidi ya wiki tatu hadi nne, wakazi wa maeneo ya Nyegezi, Mkolani, na Buhongwa jijini Mwanza wamekumbwa na uhaba mkubwa wa maji, bila taarifa yoyote rasmi kutoka Idara ya Maji. Hali ni mbaya—wananchi wanalazimika kuchota maji kwenye mito na maji tiririka, ambayo ni hatari kwa afya na...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Bilioni 700 za miradi ya alizotoa hayati Magufuli zimetafunwa? Jiji halina maji licha ya kuwa karibu na Ziwa Victoria

    Jiji la Mwanza lina kumbwa na Changamoto ya mgao mkali wa Maji. Huwezi kuamini Tz ni nchi ya aina gani? Na hali ya kushangaza Jii lililo mita 60 kutoka ukingo wa Ziwa Victoria Pande zote iwe Ilemela au Nyamagana. Mfano kituo cha Kliniki, Igombe, Sweya, Mkuyuni, Voil, Mswahili, Luchelele...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi kijiji cha Mwabebea/Nyashishi wilayani Misungwi tuna shida kubwa ya maji

    Habari, Tusaidie kwa kero Yetu wananchi wa Mwanza, ninapatikana wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kijiji Mwabebea/ Nyashishi, shida ya maji kwetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…