Mkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu.
Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3.
Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO.
Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami.
Je kama mmeona kuna...
Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA.
Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa.
Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa...
Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe ..
Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills .
Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi?
What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie!
Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana!
Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
📌📌 MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda katika kueleza dhamira ya Chama Cha Mapinduzi...
Sisi wakazi wa Isyesye iliyoko mkoa wa Mbeya tunashida moja na TANESCO, hatukatai kuna mgawo wa umeme lakini kuna kero moja inayotukwaza sana wananchi: Umeme umewekwa kwa zamu lakini cha kushangaza hata siku ambazo tunatakiwa kushinda na umeme wao wanakata.
Pia wakati mwingine wanarudisha umeme...
Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa kwa Wafanyabiashara na Wanunuaji wa bidhaa katika Soko hilo.
Wafanyabiashara katika soko hili kwa...
Anonymous
Thread
katika
kero
kubwa
kuzoa taka
mamlaka
nguvu
soko
taka
temeke
Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia.
Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao.
Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa.
Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
Anonymous
Thread
baada
chuo
daraja
kero
kimara
kimara mwisho
kuelekea
mwisho
njia
nyuma
UVUTAJI SIGARA.
Ivi ile sheria ya kuzuia uvutaji sigara iliishia wapi.
Maana Leo Stend nzima kahama ilikuwa inanuka sigara. Imefikia mahali watu wanavuta hadharani ata kwenye sehemu watu wanakusanyika.
1. Kushuka kwa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola
2. kusuasua kwa miradi ya maendeleo
3. mikopo ya hovyo hovyo inayoathiri mzunguko wa fedha kwa wananchi
3. Wizi, ufisadi na uporaji wa mali za umma
4. Matumizi mabaya ya Gari za serikali saa
5. Kupanda hovyo hovyo kwa nauli
6. Kupanda hovyo...
Kanisa la kilokole la Bethel linalopatikana katika eneo la Nyasaka-Msumbiji, kata ya Kawekamo,wilaya ya Ilemela,mkoa wa Mwanza limekithiri kwa kupiga kelele kuzidi viwango vibakubalika kisheria.
Imekua ni kawaida sasa kufungulia mziki kwa sauti kubwa tangu saa mbili asubui mpk saa nne kasorobi...
Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi.
Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
Mamlaka inayo husika na isimamizi wa barabara za ndani ya mji Shinyanga mtu saidie kuweka matuta katika izi barabara ili kuzuia mwendo kasi wa baadhi ya madereva wa vyombo vya moto hususani bodaboda na magari .
Kuna hii barabara ya Nkulila road yaan unakuta cruiser ya DFP, STM, STK...
Salamu kwa wote,
Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo,
Twende kwenye hoja ya msingi,
Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama,
Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
Habari,
Straight to the point, hii barabara imekua ni kero na chanzo cha fedha kwa wajenzi wa barabara hio kwani wamekuwa wakifanya spot rehabilitation tu.
Kila inyeshapo mvua mashimo yanarudi, hivi sasa ninavyoongea barabara hii kuanzia tabata bima-mawenzi hadi kimanga mwisho unachagua shimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.