kero

  1. The Gojo

    Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Habari! Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janeth Masaburi Aitaka TARURA Dar Kutatua Kero za Barabara

    MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ( TARURA) kuhakikisha inafanya kila jitihada ya kutatua changamoto za Barabara korofi kwa kuzikarabati ili kuwawezesha wananchi waweze kufanyaka kazi zao za kuitafuta riziki bila...
  3. Anti-Hacker

    Kero ya kubadili njia "Route" kwa mabasi ya usafiri (daladala) ya Buza to Kawe

    Habari zenu wapendwa na Moderators. Ni kitambo sana sijaaandika kitu humu jamii forums, ila leo nimeamua kuandika hii kero ambayo imenikumba mara kadhaa. Ninaomba, hii taarifa iwafikie LATRA, SUMATRA CC, na Jeshi la Police Tanzania kitengo cha usalama barabarani, pia iwafikie umoja wa...
  4. kamdudu

    TANESCO Simiyu Bariadi imekuwa kero sana

    Habari Wanajukwaa wa JamiiForums ? Natumai mko salaama. Leo ni nina kero ya muda murefu sana kutokana na umeme wa huku Bariadi Mkoani Simiyu ambao umekua ukikatika na kurudi kila wakati kutwa nzima usiku kucha kama ka mchezo flani hivi. Yaani umeme umaweza ukawaka kama dakika 30 hivi au lisaa...
  5. M

    Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  6. Pascal Ndege

    BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni. Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
  7. BigTall

    Abiria tunaovuka Kivuko cha Kigamboni leo ni kero tupu, kivuko kimoja tu ndio kinafanya kazi

    Leo Novemba 28, 2023 sisi Wakazi hasa wa Kigamboni tumepata changamoto ya Kivuko. Yaani leo kivuko kinachofanya kazi ni MV Kazi tu, kingine wanasema ni kibovu, watu wanachelewa makazini, Azam ameleta kivuko kidogo kimoja nacho ni kama kinazidiwa kutokana na idadi ya watu wanaohitaji kuvuka...
  8. BARD AI

    Trafiki wa makutano ya Mwenge ni kero na hatari kwa uchumi

    Hivi katika hali ya kawaida tu unawezaje kusimamisha Magari kwa zaidi ya nusu saa upande mmoja eneo linaingiza magari na kuyatoa mjini? Wale Trafiki ni ushamba au ujinga wanafanya pale? Hakuna sababu yoyote ya kufanya vile. Trafiki wajue kuna Wagonjwa wakati mwingine wanawahishwa Mahospitali...
  9. luangalila

    Manispaa ya Shinyanga, Kero ya bodaboda kutoa excos kusababisha makelele hamuioni?

    Najiuliza Jeshi la Polisi usalama barabaran kama wapo macho kweli? Ukifika Shinyanga mjini bodaboda nyingi zimetobolewa excos kitendo ambacho hupelekea kelele kwa wananchi wanaoishi pembezoni ya barabara mfano, Nkulila road. Kero nyingine, zipo baadhi ya izi pikipiki guta zimefunga honi zile...
  10. encyclopaedia Tanzaree

    KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
  11. R

    Umekutana na kero gani benki ambayo ilikukwaza na kukupotezea muda? Wataje hapa wajirekebishe

    Wakuu, Kuna baadhi ya benki ukienda kupata huduma unaenda umetabasamu ukitoka unatamani upasuke kwa hasira. Baadhi ya kero ya kero ni wadumu kufanya mambo mambo taratibu sana, mtu mmoja anatumia hata nusu saa halafu kikubwa kinachofanyika hakuna. Ama unakuta benki ina madirisha mengi lakini...
  12. R

    KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  13. E

    Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

    Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere. Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na...
  14. BigTall

    Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  15. Vincenzo Jr

    Hii ni mwaka 2015 lakini mpaka leo serikali imeshindwa kutatua hii kero

    Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni Kujionea Athari za Mafuriko 2015
  16. Braza Kede

    Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

    Haya twende kazi - Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza. - Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua. - Mmekubaliana fresh...
  17. M

    Pamoja na kulipwa mishanara, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wameshindwa kutatua kero za wananchi mpaka Makonda aingilie kati!

    Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
  18. Gentlemen_

    KERO: DAWASA Acheni kutuma SMS za madeni kwa wingi

    Kwanza Maji yenyewe mnayatoa kwa mgao (Hamjatangaza tu), huku Tabata hasa Kinyerezi maji mnabangaiza kuyatoa. Mkijiskia ndio mnayaachia hamfati ratiba inayoeleweka. Nirudi sasa kwenye KERO. Mnatuma sana SMS zenu kila muda mnatuma hayo madude yenu. Kuweni na weledi basi na mkiwa mnafanya...
  19. Mhaya

    Yericko Nyerere: Serikali ianzishe customer care service maalum, Wizara ya Habari na Mawasiliano haina manufaa

    Anaandika Yericko Nyerere katika Mitandao yake ya kijamii; "Nashauri Serikali ianzishe kituo maalumu cha huduma kwa wateja (special customer care) mitandaoni ambacho kitapokea shida na matatizo yote ya watz. Wizara ya Habari na Mawasiliano kinadharia haina manufaa kwa umma, na haina tija ya...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
Back
Top Bottom