kero

  1. L

    Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Mtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote. Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena. Tunashindwa kufanya...
  2. C

    Je, kukataliwa au kutothaminiwa au kuonekana ni wa Ajabu na Kero ni Kurogwa au una Jini ndani yako?

    Unakuta kuanzia Wazazi wako, Ndugu na hata Marafiki bila sababu yoyote au Kosa lolote lile Wanakudharau, Hawakuthamini na Wanskuona ni Kero, Mzigo na hata Takataka Kwao. Na hali hii inaweza kukuta ukiwa una Ajira yako na hata Pesa au huna Ajira na Pesa vile vile. Na kama haitoshi pia hata ukiwa...
  3. Kero ya Maji Kandiya Haitanishinda - Mbunge Lekaita wa Kiteto

    KERO YA MAJI KANDIYA HAITANISHINDA - MBUNGE EDWARD LEKAITA Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amewaambia wananchi wa tawi la Kandiya Kitongoji cha Kona kuwa changamoto ya Maji waliyonayo haitamshinda kuitatua na ameahidi kushirikiana na RUWASA kutatua changamoto hiyo. Mbunge wa...
  4. J

    Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  5. B

    Kero yangu kwa TRA

    Wakuu poleni na majukumu. Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA. Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini Kwa uzoefu wangu, baada ya...
  6. Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
  7. S

    Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
  8. Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
  9. Mbunge Ngassa: Tutaendelea kutatua kero zenu bila kuchoka

    "... Tuliingia Mkataba nanyi Wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu baada ya Chama chetu (CCM) kuinadi Ilani ya uchaguzi kwenu. Mkatupa ridhaa, sasa ni wajibu wetu kutatua kero zinazowakabili bila kuchoka. Tunafanya hivyo ukiwa ni wajibu wetu kikatiba na kisheria ndio maana leo kwenye Kata yenu Tumefanya...
  10. P

    Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  11. Kuna kero kubwa kwa Watumishi wa Umma wanapotaka kuhama au kubadili taasisi

    Mdau wa Jamii Forums anaeleza... Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi. Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
  12. Wananchi Tabata Kisukuru kero yetu kubwa ni kukosa gari la kuzoa taka na uhaba wa maji

    Mimi kero yangu au naweza kusema kero ya watu wengi huku mtaani kwetu Tabata Kisukuru ni kuwa gari la Taka halijaonekana muda mrefu na taka zimejaa kwenye nyumba nyingi mpaka zinanuka na kutengeneza wadudu. Kero nyingine ni kuwa maji ni ya shida sana yaani tunataabika kwelikweli, tupazieni...
  13. Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

    Wasalaam JF, Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi...
  14. Wizara ya Kilimo Ianzishe Dawati la Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara

    MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
  15. SoC03 Ofisi za kazi mkoa tatueni kero hizi wanazopitia wafanyakazi wa viwandani

    Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi. Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
  16. Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  17. M

    Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
  18. M

    Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  19. Serikali itupie Jicho Kero ya usambazaji wa Umeme eneo la Ukara, Ukerewe

    Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei. Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
  20. Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…