Last week natoka Mwanza kuja Dodoma nimekaa na jamaa anakera kweli kweli kwenye siti yeye na mtoto wake kufika hadi kunitapikia.
Tuligombana sana hadi nafika Mwanza, leo narudi Mwanza kwenda Dodoma kuna kijana kapandia njiani kaja kukaa siti ya pembeni yangu yaani kwanza ananuka sana pili ni...