kero

  1. shuka chini

    KERO Changamoto za Mifumo ya Kidijitali Katika Hospitali

    Habarini wadau. Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali. Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la mfumo kujaza data za ugonjwa ni changamoto. Hadi nesi mmoja analalamika anasema kama ndio hivyo...
  2. Mjasiria Akili

    KERO Kifuru maji hayajatoka kwa muda mrefu

    DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
  3. lugoda12

    KERO YA MAJI

    Hivi Serikali inafikiria nini hii kero ya maji ambayo imekuwa janga kubwa kwa wakazi wa baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam? Yale marekebisho ya Ruvu juu bado hayajaisha na ni mwezi mzima sasa umeisha!
  4. lugoda12

    Kero ya Maji baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam

    Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾‍♂️🤔
  5. nipo online

    Kero ya kuazimana chaja, unarudi home unakuta chaja haipo

    Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
  6. JEJUTz

    Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

    It's JEJUTz here! Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l. Ila kuna hii issue moja huwa ni kero na ni nadra mtu kukuambia ila ukweli watu huumia na kugugumia moyoni kimya kimya...
  7. Rufiji dam

    Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  8. J

    Shamira asikiliza kero za mama ntilie na bodaboda Singida ili kuzipatia ufumbuzi!

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama ametembelea wamama wafanyabiashara ya chakula “mama ntilie” pamoja na vijana wa boda boda katika soko la Msufini Singida Mjini. Shamira ameongozana na Mbaraza wa UVCCM Mkoa wa Singida Ndg. Amisa Msele, kamati ya...
  9. Hammer11

    Mwenye nyumba wangu anafanya maombi yenye kelele kila usiku

    Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje? Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
  10. Satirical Yet Awesome

    Kero za Cinema

    Kwema wakuu Aisee jana nilienda kuangalia movie mida ya usiku, nilikaa mbele ya mdada flani ivi ambaye mwanzoni nilidhani atakuwa mtaratibu tuu kwasababu alivofika alianza kusalimia watu wote wa karibu yake ila kilichofata nilitamani nihame. Yaan huyu mdada kwanza anapiga makelele, kitu cha...
  11. The Eric

    Leo Zingatia Haya Wakati wa Kuchaguana Ili Kupunguza Kero na Taabu.

    Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU. Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye fungu la kupata mahusiano yenye furaha. Vijana wa Kiume Zingatieni haya hapa wakati unatafuta she wa...
  12. D

    Mwanzo nilijua ukiwa tajiri basi umejiepusha na kero ndogo za serikali kumbe tabu iko palepale

    Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
  13. Joannah

    Kero za kudate mume wa mtu

    Hey Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi... Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya...
  14. A

    KERO Mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka 2023 umekuwa kero kubwa

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka jana 2023 watumishi wamekuwa na kilio kisicho na mtu wa kunyamazisha, kwa maana hakuna mtumishi aliyeomba uhamisho na akapata kibali cha kuhama kwenye mfumo. Mbaya zaidi ukipiga simu TAMISEMI hata wao hawajui ni lini vibali hivyo...
  15. Mayor of kingstown

    Kero ya kukuta mtu kakaa kwenye siti yako ya dirishani kwenye Bus.

    Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia. Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea . Binafsi hili jambo lina...
  16. G

    Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  17. Mshana Jr

    KERO Wanaofanya usafi barabara za Dar hawaondoi uchafu bali wanauhamisha

    Hili sijui ni la Waziri wa Afya ama mazingira ama wote wawili? Kuna uchafuzi mkubwa sana kwenye barabara za Dar es Salaam pamoja na mifereji na mitaro yake unaofanywa na makampuni yaliyopewa kandarasi za kusafisha barabara za jiji mitaro na mifereji yake na wahusika wala hawagutuki ama kuchukua...
  18. M

    Kero ya Jiji la Dodoma,Upande wa Maliwato

    Leo asubuhi nilienda kupata huduma pale ofisi za Jiji Dodoma! Nikiwa pale kwenye foleni kwa kwenda kuonana na mtoa huduma wangu,nilipata udhuru,nikasema ngoja niende maliwatoni nikapate huduma za kila siku za kijamii! Kusema na kweli, baada yakuona tu ule mlango wa kuingia chooni,nilikutana na...
  19. Tlaatlaah

    Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  20. G

    Suala la usafi kwa baadhi ya wahindi ni kero, ni utamaduni au ?

    duh !!
Back
Top Bottom