kesi lissu uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mimi sio CHADEMA wala CCM lakini nina ubinadamu; Hivi Tundu Lissu amewakosea nini?

    Sio mwana chama wa taasisi yoyote lkn ubinadamu ninao. Huyu binadamu TAL amewakosea nini
  2. JamiiForums Tanzania Unadhani kuna nini kinaendelea hadi Kesi ya Lissu kusogezwa Julai 6?

    Kukiwa na vuguvugu la maandamano tar 7 July, 2026 Na kesi ya Lissu kuahirishwa parefu Hadi tar 6 July, 2026 Zingatia hizo tarehe..why tar 6? Je unaweza kusema waja kule wanawaza Nini? Au wanapanga Nini😊 Soma pia Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026 yaahirishwa hadi Julai 6, 2026

    Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11 yaahirishwa hadi tarehe 6 Julai 2026 TAARIFA KUTOKA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Nshala: Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho lazima aonekane kwa Jaji au Hakimu anayesikiliza kesi

    Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa, Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri alikua atoe ushahidi ila mshtakiwa aliweka mapingamizi kwani shahidi huyo alikuwa haonekani hata na...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 20; Jamhuri kuleta utetezi baada ya Lissu kupinga vielelezo vya ushahidi

    Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama Ushahidi kupokelewa na Mahakama kutokana na kutofuata utaratibu wa mwanzo wa ukabidhi. --- Upande wa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Kesi haijasikilizwa hata upande mmoja, tarehe ya hukumu ishapangwa. Kama kuna hukumu tayari tujue

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inaendelea leo Oktoba 6 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Akiwa mahakamani, Lissu amehoji kitendo cha tarehe ya hukumu kuwepo tayari wakati hilo upande wa mashtaka na utetezi haujaanza kusikilizwa Tundu Lissu amesema Hii kesi...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama ya Kisutu ilifanyia kazi ushauri wa JF, leo video inaoneka vizuri sauti inasikika safi! Kumbe mkiamua mambo yanaenda vizuri

    Wakuu, Niliwapa spana kidogo Mahakama ya Kisutu baada ya kurusha kesi ya Lissu mubashara video ikiwa hovyo, nyeusi na haionekani vizuri, sauti ndio usiseme, ni kama tulikuwa tunaangalia tu watu wakinyanyuka na kukaa lakini sauti hakuna. Pia soma: Pre GE2025 - Mahakama mnashindwa kuwa na vifaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…