kesi ya wachokonozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wachokonozi: Polisi wanakuja kukukamata wanasema, "Tumeagizwa"; ukiuliza kosa, wanajibu, "Utajulia mbele

    Joseph Mrindoko wa Wachokonozi amesema kuna changamoto katika utawala wa sheria, utendaji wa baadhi ya watumishi wa serikali na uelewa wa wananchi kuhusu haki zao za kisheria. Soma pia: Wachokonozi: Kwa sheria za nchi yetu, lile halikuwa zoezi la ukamataji, niliona ni weledi mdogo katika...
  2. JamiiForums Tanzania Wachokonozi: Kwa sheria za nchi yetu, lile halikuwa zoezi la ukamataji, niliona ni weledi mdogo katika utendaji kazi

    Joseph Mrindoko wa Wachokonozi amesema hakushangazwa na tukio lililomhusisha, akieleza kuwa alilitarajia kutokana na mazingira na upeo wa watu wanaohusika. Amesisitiza kuwa, kwa uelewa wake wa mifumo ya kisheria, kilichotokea hakikuwa zoezi halali la ukamataji kwa kuwa hakikufuata taratibu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi Wafutiwa Kesi na Kuachiwa Huru Baada ya Kukosekana Ushahidi

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru imewaachia huru watetezi wa haki za binadamu Jackson Martine Kabalo na Joseph Chaviruka Mrindoko, maarufu kama “Wachokonozi”, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuendelea na ushahidi katika Shauri la Jinai Na. 000017735/2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya wachokonozi kusikilizwa mfululizo kuanzia Septemba 15

    Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, Agosti 19, 2025, imeendelea katika Mahakama ya Wilaya ya Meru mbele ya Hakimu Sodeyeka, kwa kusomwa hoja za awali(ph) Washitakiwa wote wawili walikanusha mashitaka mawili...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya wachokonozi yaahirishwa tena mpaka Agosti 19, 2025

    Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, imeahirishwa kwa mara nyingine tena katika Mahakama ya Wilaya ya Meru na sasa itasikilizwa Agosti 19, 2025 kwa ajili ya hoja za awali. Washitakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka mawili-...
  6. JamiiForums Tanzania Wachokonozi waachiwa huru, wakamatwa tena na kushtakiwa upya

    Leo Julai 21, 2025 wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la #wachokonozi Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, leo wamefikishwa kwa mara nyingine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa ajili ya kusomewa hoja za awali katika kesi ya jinai inayowakabili, kabla ya kuachiwa huru na kukamatwa tena mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…