Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Joseph Mrindoko wa Wachokonozi amesema kuna changamoto katika utawala wa sheria, utendaji wa baadhi ya watumishi wa serikali na uelewa wa wananchi kuhusu haki zao za kisheria.
Soma pia: Wachokonozi: Kwa sheria za nchi yetu, lile halikuwa zoezi la ukamataji, niliona ni weledi mdogo katika utendaji kazi
Amesema baadhi ya Watanzania huamini kuwa mtu anapohojiwa au kushikiliwa na polisi tayari ana hatia, badala ya kutambua kuwa anaweza kuwa anachunguzwa au anatuhumiwa bila hatia kuthibitishwa.
Via: The Chanzo