Wachokonozi: Polisi wanakuja kukukamata wanasema, "Tumeagizwa"; ukiuliza kosa, wanajibu, "Utajulia mbele

Wachokonozi: Polisi wanakuja kukukamata wanasema, "Tumeagizwa"; ukiuliza kosa, wanajibu, "Utajulia mbele

Sijui ni mimi tu lakini feed yangu ya mitandao ya kijamii imejaa content ya vijana wadogo wenye fikra kubwa na huru.

Nakuta naona disconnect kubwa kati ya ghilba za nani kala hela za chama na upeo wa kizazi hiki.
 
Mo29 wahusika ni polisi jwtz tiss hakuna cha mercenaries wala nini walioua watoto wetu ni hawahawa migambo wanaojiita jwtz na hayawani wa kuitwa polisi
Siwezi kulithibitisha hilo la wahusika ila najua watu wengi waliuawa.
 
Naye kashindwa kuwaloga ili wawe walemavu na wao? Unawatupia Jini tu, hawaoni gari linawagonga na kuwavunja miguu tu wote waliohusika kumsababishia ulemavu.

Unyonge mwingine wa hovyo sana.
Bado anamvizia polisi yoyote alipe kisasi
yule muhusika amehamishwa kituo!
 
Joseph Mrindoko wa Wachokonozi amesema kuna changamoto katika utawala wa sheria, utendaji wa baadhi ya watumishi wa serikali na uelewa wa wananchi kuhusu haki zao za kisheria.

Soma pia: Wachokonozi: Kwa sheria za nchi yetu, lile halikuwa zoezi la ukamataji, niliona ni weledi mdogo katika utendaji kazi

Amesema baadhi ya Watanzania huamini kuwa mtu anapohojiwa au kushikiliwa na polisi tayari ana hatia, badala ya kutambua kuwa anaweza kuwa anachunguzwa au anatuhumiwa bila hatia kuthibitishwa.

Via: The Chanzo
Bora hata wangesema kosa utasomewa mahakamani baada ya kiandikisha maelezo Polisi.

Haya mambo ni ya hovyo hayafai,Mimi ni mfuasi wa wachokonozi.
 
Kila Askari polisi anayekamata Kwa nini asiwe anaonesha ID mbona zamani ulikuwaga hivyo
 
Labda, ndo matokeo ya polisi wengi kuwa wale waliofeli ama kutofanya vyema sana mashuleni... wanaingia ukondoo kirahisi. Nimeongea ivi si kukashifu, ila kujiuliza kwa nini mapolisi wanatekeleza maagizo yasiofuata sheria ila kufuata matakwa ya chama tawala... wakati wajibu wao ni kulinda sheria, kulinda wananchi na mali zao.
 
Back
Top Bottom