Wachokonozi: Polisi wanakuja kukukamata wanasema, "Tumeagizwa"; ukiuliza kosa, wanajibu, "Utajulia mbele

Wachokonozi: Polisi wanakuja kukukamata wanasema, "Tumeagizwa"; ukiuliza kosa, wanajibu, "Utajulia mbele

Atakuwa police uchwara huyu.
Unanizushia tu mkuu. Mimi sio polisi ila nimewahi kukamatwa na polisi na kufikishwa kituoni hata kuwekwa lock-up kwa siku 3(Three days)lakini sikupigwa.
 
Unaingia kituo cha polisi utawasikia huyu anakosa gani?
embu mfungueni vikombe..utapigwa malungu ya kufa mtu..

hapo hata mahakani hawakupeleki wao ndo mahakimu
kuna jamaa yangu mpaka leo hii ni kilema alipigwa sana na polisi
kosa lenyewe walimkuta road mida ya saa 2 usiku
wampaki kwenye tenga hadi kituoni wakawagonga na malungu kisha wakawaachia..

Kiufupi polisi tz ni wangese sana!
Kuna mwanangu mmoja walimkamata wakamficha Tazara tafuta weee hajulikani alipo , walipomuona hana kosa wakamwachia alikuwa rasta amerudi wamemnyoa na kawa kama kinda la ndege amekonda vidonda kibao… akakimbia na Dar yenyewe … those mazafukz know how to torture. Police ni njia iendayo KUZIMU.
 
Mbona ni kama kuna kitu hujakiweka wazi mkuu?. Huyo jamaa yako aliyedakwa saa 2 usiku alikuwa ktk. mazingira gani? Katika kuhojiwa kabla ya kuambiwa upo chini ya ulinzi alikuwa anatoa majibu gani kwa maswali ya polisi waliokuja kumkamata?
Watu wengi tuna feli hapa. Tunadhani polisi aliyekuja kukamata ni Adui na huenda ana maslahi binafsi dhidi yako. La Hasha. Sivyo kabisa. Yupo kazini.
1. Tukumbuke unapokamatwa kwa kuhisiwa umetenda kosa ; wewe unaitwa ni Mtuhumiwa tuu. Haijathibitika kwamba wewe umefanya kosa. Hata ukiwekwa rumande/lock-up bado wewe ni Mtuhumiwa.
2. Tukumbuke na Tuzingatie kwamba Polisi anayekuja kukukamata yupo kikazi zaidi na hajaja kwako kupiga story. Ukimpa ushirikiano i.e. usimsumbue na kuifanya kazi hiyo kuwa ni ngumu kwake bila sababu za msingi.
3. Unapokuwa Kituo cha polisi kama Mtuhumia, kumbuka upo tayari chini ya ulinzi. Jitahidi kufanya/kutii kile polisi anachokuamuru ufanye. Kuonesha Ukaidi, Ujeuri au Kujitetea ndo hapo utafunguliwa vikombe. Zingatia kwamba yale yooote yote watakayokuamuru cjui andika hapa, weka saini hapa n.k. n.k; Usiogope fanya tu - Ukifika Mahakamani unaweza na uko Huru kuyakana/kuyakataa yote na ngoma inaanza upya mbele ya Mahakama (Hakimu).
BTW: Mm sio Polisi wala Mwanasheria - I stand to be corrected.
Kama wewe sio miingoni mwao usiombe , kweli wanakamata wakosaji ila ukikamatwa na sio mkosaji mchakato wa kujua unahusika au uhusiki utaomba ardhi ipasuke uingie … Na hii inakua mbaya ukiwa NO BODY yani commoner
 
Mbona ni kama kuna kitu hujakiweka wazi mkuu?. Huyo jamaa yako aliyedakwa saa 2 usiku alikuwa ktk. mazingira gani? Katika kuhojiwa kabla ya kuambiwa upo chini ya ulinzi alikuwa anatoa majibu gani kwa maswali ya polisi waliokuja kumkamata?
Watu wengi tuna feli hapa. Tunadhani polisi aliyekuja kukamata ni Adui na huenda ana maslahi binafsi dhidi yako. La Hasha. Sivyo kabisa. Yupo kazini.
1. Tukumbuke unapokamatwa kwa kuhisiwa umetenda kosa ; wewe unaitwa ni Mtuhumiwa tuu. Haijathibitika kwamba wewe umefanya kosa. Hata ukiwekwa rumande/lock-up bado wewe ni Mtuhumiwa.
2. Tukumbuke na Tuzingatie kwamba Polisi anayekuja kukukamata yupo kikazi zaidi na hajaja kwako kupiga story. Ukimpa ushirikiano i.e. usimsumbue na kuifanya kazi hiyo kuwa ni ngumu kwake bila sababu za msingi.
3. Unapokuwa Kituo cha polisi kama Mtuhumia, kumbuka upo tayari chini ya ulinzi. Jitahidi kufanya/kutii kile polisi anachokuamuru ufanye. Kuonesha Ukaidi, Ujeuri au Kujitetea ndo hapo utafunguliwa vikombe. Zingatia kwamba yale yooote yote watakayokuamuru cjui andika hapa, weka saini hapa n.k. n.k; Usiogope fanya tu - Ukifika Mahakamani unaweza na uko Huru kuyakana/kuyakataa yote na ngoma inaanza upya mbele ya Mahakama (Hakimu).
BTW: Mm sio Polisi wala Mwanasheria - I stand to be corrected.
Hii sio bongo ndugu yangu uwe umetoa ushirikiano au hujatoa huachiwi hivihivi either upigwe makofi au ndugu zako waje kukutoa kwa kupitia mlango wa uwani(tuyajenge).
Hii unayosema wewe ya kwamba ukitoa ushirikiano ndio kigezo cha kutoka bila shida ni kwenye nchi za watu wanaojua utu ni nini ndio mtu atajipeleka polisi kiurahisi akiamini yuko kwenye mikono salama.
 
Hiyo ya tatu ni ushuzi na upuuzwe..eti ukubali kila unachoambiwa😀😃😃...WTF MAN...
😎 😎eheheh jamaa hajawahi kukutana na mitihani, zinawekwa bangi na sembe, unaambiwani vyako unakubali kuandika na mbaya zaidi wanakupa ushike na mikono yako.
 
Hii sio bongo ndugu yangu uwe umetoa ushirikiano au hujatoa huachiwi hivihivi either upigwe makofi au ndugu zako waje kukutoa kwa kupitia mlango wa uwani(tuyajenge).
Hii unayosema wewe ya kwamba ukitoa ushirikiano ndio kigezo cha kutoka bila shida ni kwenye nchi za watu wanaojua utu ni nini ndio mtu atajipeleka polisi kiurahisi akiamini yuko kwenye mikono salama.
😎 Ukiwa na uhakika haujafanya kosa, na wala hauna tatizo na mamlaka kiasi cha watu kuamua kupindisha sheria. Sijui umekutwa unatembea na hakuna katazo lolote baba kubali kwend kituoni. Ukifika KOMAAna maelezo mafupi tu kuwa sina kosa narudi nyumbani kutoka katika shughuli zangu, sina maelezo zaidi ya hayo nipo tayari kwenda mahakamani.
Naomba mawasiliano niandae mazingira ya dhamana. Baba ukipigwa kofi hata moja WAKA KINOMA NOMA LIKE "hauna mamlaka ya kunigusa wala kunipiga usirudie tena tutaharibiana kazi"😳Ukipewa simu ropoka tu mwambie huyo ndugu yako iko kituo cha mabatini njoeni mnitolee dhamana, mwambie Mjomba Alex ampigie IGP kuna Afande namba zake za uniform nimezikariri amenipiga bila kosa.

Ropoka hata jina la mkubwa yeyote kama vile mna undugu au ujamaa hahah. Ukimaliza ropoka tena tutaoneshana hamuwezi kunipiga bila kosa. Kaa kimya uone wanavyoanza kunong'onezana, baada ya muda utaskia flani flani, toka kachukue vitu vyako ondoka.

Ni sanaa na personality. Madogo hawaelewi kwanini sometimes tuna dress official hata kama hakuna issue ya maana.
Sasa mtu unakuta kashikwa ana rasta cafu, kujieleza hawezi, eneo baya...

Niliwahi kushikwa sehemu, nikaachiwa bila hata fujo, nilipiga tu JAMBO AFANDE kama mwenzao vile, kisha nikamalizia aah nimeteleza kidogo tusitiriane nikatoa NIDA basi nikapita yulee
 
Na iwe ni 'Katiba mpya ya wananchi' sasa!

Isiwe ilimradi Katiba mpya ya kubambikiwa kama ile ya Bunge la Katiba la Kikwete, kuingiliwa na machawa wa mipasho.

Hatutaki takataka kama hizo, bora isiwepo kabisa.
Ni kweli. Tukikosea tumekwisha tena.Tena napendekeza wale wajumbe wa Bunge la Katiba ambao sio wanasiasa wakaguliwe kwanza kama wanakadi yoyote ya chama tusije kuwekewa mamluki wa vyama hawa ndo wametufikisha hapa tulipo.
 
Hilo la mo29 lina makando-kando na mauza-uza mengi. Wapo wanaodai ni watu waliokodiwa(Mercenaries), wengine wanasema ni askari kutoka Uganda/Malawi na wengine ni askari wa Jw ilhali wengine wanasema ni Polisi wetu....... yan haieleweki na ukizingatia magwanda /uniforms za polisi mtu anaweza kujishonea na akavaa kutekeleza lengo ovu.
Mo29 wahusika ni polisi jwtz tiss hakuna cha mercenaries wala nini walioua watoto wetu ni hawahawa migambo wanaojiita jwtz na hayawani wa kuitwa polisi
 
Joseph Mrindoko wa Wachokonozi amesema kuna changamoto katika utawala wa sheria, utendaji wa baadhi ya watumishi wa serikali na uelewa wa wananchi kuhusu haki zao za kisheria.

Soma pia: Wachokonozi: Kwa sheria za nchi yetu, lile halikuwa zoezi la ukamataji, niliona ni weledi mdogo katika utendaji kazi

Amesema baadhi ya Watanzania huamini kuwa mtu anapohojiwa au kushikiliwa na polisi tayari ana hatia, badala ya kutambua kuwa anaweza kuwa anachunguzwa au anatuhumiwa bila hatia kuthibitishwa.

Via: The Chanzo
Huyu ni atheist yeye na wenzake.Hawa wachokonozi wanaopambana na kupinga uwepo wa Mungu sidhani kama ni watu sahihi wa kuleta tija kwenye jamii.
 
Mimi nawashangaa wananchi wanavyoidai katiba mpya wakati sheria zilizopo zinavunjwa tu pasipo kuwa na hatua wala adhabu za kuchukuliwa
Katiba mpya itawapa watawala hofu. Imagine una katiba ambayo eti Rais hata afanye madudu gani akitoka madarakani hashtakiwi. Hapo lazima awe juu ya sheria(kinara wa kuvunja Sheria)
 
Unaingia kituo cha polisi utawasikia huyu anakosa gani?
embu mfungueni vikombe..utapigwa malungu ya kufa mtu..

hapo hata mahakani hawakupeleki wao ndo mahakimu
kuna jamaa yangu mpaka leo hii ni kilema alipigwa sana na polisi
kosa lenyewe walimkuta road mida ya saa 2 usiku
wampaki kwenye tenga hadi kituoni wakawagonga na malungu kisha wakawaachia..

Kiufupi polisi tz ni wangese sana!
Mi wakinifanyia huo ujinga ipo siku ntatembea na petrol na kiberiti.
Nikikutana na lipolisi lolote nalimwagia Petrol na kuliwashia kiberiti.

Ukinifanyia ubaya lazima ntaulipa tu. Sitakagi ujinga
 
Katiba mpya itawapa watawala hofu. Imagine una katiba ambayo eti Rais hata afanye madudu gani akitoka madarakani hashtakiwi. Hapo lazima awe juu ya sheria(kinara wa kuvunja Sheria)
Lakini si tumeona nguvu inatumika pasipo kufuata sheria ndugu mimi naona ni mpaka tutakapo pata rais atakae ruhusu haki na uwajibikaji ndiyo mchakato wa katiba mpya ufanywe
 
Unaingia kituo cha polisi utawasikia huyu anakosa gani?
embu mfungueni vikombe..utapigwa malungu ya kufa mtu..

hapo hata mahakani hawakupeleki wao ndo mahakimu
kuna jamaa yangu mpaka leo hii ni kilema alipigwa sana na polisi
kosa lenyewe walimkuta road mida ya saa 2 usiku
wampaki kwenye tenga hadi kituoni wakawagonga na malungu kisha wakawaachia..

Kiufupi polisi tz ni wangese sana!
Naye kashindwa kuwaloga ili wawe walemavu na wao? Unawatupia Jini tu, hawaoni gari linawagonga na kuwavunja miguu tu wote waliohusika kumsababishia ulemavu.

Unyonge mwingine wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom