The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.
Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).
Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.
NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia...
Wakuu habari za muda,
Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule...
Habari wanajukwaa.
Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu.
Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO...
Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika.
Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
Kunywa maji ya mtoni pale ambapo Farasi anakunywa. Farasi hawezi kunywa maji machafu.
Weka kitanda chako mahali ambapo paka hupenda kulala.
Kula tunda ambalo limeguswa na mdudu au mnyoo.
Chuma Uyoga ambao wadudu huufata.
Panda mti mahali ambapo Panya wamechimba.
Wakati wa kusafisha kiwanja...
SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE
Nakumbuka kama jana vile.
Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali.
Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi.
Nina...
Je, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju?
Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani?
~ Je, mshana na wenzie wapo?
~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju??
~ Je, mnamkumbuka yule mtoto wake Jackline?
Kwanza niwe muwazi ( nikiri ) kuwa GENTAMYCINE napenda sana Paka na ninae Mmoja namfuga na ukitaka Ugombane nami mguse ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa hauna Kolabo.
Hata hivyo sipendi Paka ambao Wanafugwa na wenye Nyumba ila hawana Adabu pindi Nyumba husika ikitembelewa...
Mzee wa Nasemajeeee...
Mizuka ya huyu mwamba ni next level..
Ndiyo Dj anayetrend zaidi kwa sasa kutokana na style yake ya kupiga miluzi mingi pindi anaposherehesha.
Hajaajiriwa na kituo chochote cha radio au tv, bali anapiga mixing kali kwenye kumbi mbalimbali za starehe na burudani hasa hasa...
Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
Inakuaje hawa Azam Decoder?
Yaani tuma nyunyu tu TV ina stuck. Sasa si wangesema mapema kuwa hizi decoders zao zinatumika wakati wa jua tu masika tufanye utaratibu mwingine?
Habari Wana jukwaa.
Nitaandika kwa KIFUPI Mno.
NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU.
Mchezaji Bora wa Simba kwa Miaka MIWILI Baada ya kuondoka Chama ni Henock Inonga.
Inonga Amepata Jerahi...
Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako.....
Aunilateral ceasefire called by Russia appears to have had little effect on fighting on the ground, with officials accusing each other of opening...
Kwema wakuu
nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani
Je, ni ipi tiba?
Shukrani.
Hizo pesa za mauza uza hata waganga wanazikimbia ilhali wao wana uwezo wa kuzipata ila hawazitaki kabisa, hata mhitaji akifanikiwa kuzipata mganga anazikwepa.
Mganga pale anakuwa ni dalali tu anaewaunganisha anaezitaka na majini.
Huyo anaezitaka inabidi atoe kitu muhimu kwake kwa majini ili...
za leo wakuu
kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali pa kukaa, sijajua ataondoka lini huyo demu. Ila jamaa ana chumba na sebule na mi nilikuwa naangusha...
Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani.
Baadhi ya matukio
Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.