The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.
Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).
Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.
Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi...
Leo moroko wameendeleza kile walichokianzisha tangu hatua za makundi ni timu pekee mpaka sasa iliyoruhusu nyavu zake kuguswa mara 1 tena kwa goli la kujifunga wenyewe dhidi ya Canada katika michuano hii ya kombe la dunia huko Qatar.
Hakika ni jambo la kujivunia wakiwa na kocha mzawa wamecheza...
Hivi samaki ni Halal kuliwa kwake au si halal? Maana huwa naona wanajifia wenyewe tu.
Hawachinjwi. Na vitabu vinataka tule mnyama aliye chinjwa sasa hapo wadau inakuaje?
Maana mimi huwa nasita sana. Naona tunakula kibudu.
Kuna member mwenzetu mmoja alisema Katika Uzi wake kuwa " mume wake hashiki Simu yake,ana mruhusu kwenda sehemu yoyote na akienda sehemu Bila kuaga wala haulizwi".
Na madam huyu alisema angependa kumuona mumewe anampenda Kwa kumjali na sio kuonyesha kutokujali.
Naweza kusema kuwa Ni kweli...
Hellow
Mimi huwa na chukizwa sana na baadhi ya watu ambao wanapenda sana kujiona bora kuliko wengine especial waislamu na walokole
Waislam wao wanajiona wapo sahihi kwa asilimia 100 na wengine ni watenda dhambi hua nachukizwa sana
Unakuta mtu anasema huyo ni najisi mala amelaaniwa nani...
God is good all the time, All the time....(don moen).
Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini...
Siwachoshi!
Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini!
Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya safari ngapi za kwenda na kurudi hata kabla ya JPM kuwepo?
Tutaaminije kama siyo mikono michafu ya...
Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya?
Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
Naona Mbowe asali aliyopewa ilikuwa ya kuonjeshwa haijamtidhisha ameanza chokochoko za Kizee ili apewe asali nyingine tena lkn mimi namshauri Samia aendelee kumpa asali ya kuonja ili awe mvumilivu
ukifika wakati wa kumpa ya kunywa achanganye na Alovera hii ni chungu ataitema japo vile...
Nawasalimu Kwa jina la muungano wana JF wote
Kifupi nisikuchoshe wala tusichoshane nitaenda moja Kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyoeleza
Mtanisamehe Kwa uandishi wangu Mimi sio muandishi mzuri
Kwa kifupi Mimi ni kijana Wa kitanzania mkazi Wa jijini Dar es Salaam. Katika harakati za...
MNATAKA WENZENU WALE WAPI?
Anaandika, Robert Heriel
Unajua kuna watu ukiwatafakari utabaki unawashangaa Sana. Sijui wanafikiri kaa kutumia kiungo gani. Maana Kama wangetumia ubongo wasingefikiri Kwa namna hiyo.
Unapojadili Jambo lolote lazima ushirikishe akili yako vyema ili usijidhalilishe...
Kuna sehemu kule Juu unaona kabisa Bati limeanza kuachia huku Lami iliyoko kwa kule Juu nayo ikianza Kuisha.
Ni Daraja zuri ila liwe linafanyiwa Matengenezo na Uangalizi ili Kuliimarisha kwani kuna muda hata ukiwa kule Juu unasikia kabisa likinesa na Uimara wake kutia Shaka.
Ombi langu hili...
Kila mtu ana vitu vyake fulani hivi anavyovijua lakini watu wengi hawavijui.
Inaweza kuonekana kama vidogo lakini ni vikubwa mno kwa tafakuri ya kina. Au pengine watu wanajua lakini hawaipi kipaumbele stahiki. Hebu share nasi kwa kifupi sana!
Naanza mimi:
- Serikali halisi ni familia. Hizi...
Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu.
Halotel 1500 MB 750
Halotel 2000 GB1
Tigo 1500 MB 650
TIGO 2000 MB 800
N.k
N.k
In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake...
Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
Maisha ya watanzania wengi ni ya dhiki, adha na mateso. Mchana inzi usiku mbu. Watanzania maskini wanakamuliwa maziwa yameisha sasa wanakamuliwa damu.
Maji ni shida ,umeme ni shida, chakula ni tabu, pesa wanapata kundi la watu flani tu. Mnasema tutafika mbinguni tumechoka.... Hamna...hamuwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.