Sawa, najua utachoanza kusema, ooh ukabila ulikomeshwa, hakuna civil war, mabeberu wangepindua tena nchi hii, etc. Lakini twende na uhalisia wa matokeo, ni nchi gani iliyokuwa mfuasi wa ukomyunisti (kutoka kwa Mchina na Mrusi) leo ina maendeleo yenye kasi kubwa, bali tu kuwa wahanga wa sera zao...