kifungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Alihukumiwa Miaka 30 jela kwa ubakaji miezi mitano iliyopita, leo tupo naye mtaani, hili limekaaje?

    Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
  2. Mkalukungone mwamba

    Nigeria: Aliyemtukana Mungu ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani

    Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka 2020. Mubarak alikamatwa Aprili 28, 2020, kwa tuhuma za kukufuru dini na uchochezi kutokana na...
  3. didy muhenga

    Mtoto wa senator ahukumiwa kifungo

    Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
  4. Mtu Asiyejulikana

    Video: Aliyetembea na wanawake na watoto zaidi ya 1,000 Ahukumiwa kifungo cha miaka 8658

    Mwamba huyu hapa. Huko Uturuki.
  5. Roving Journalist

    Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

    Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Ikimba amehukumiwa kifungo cha nje miezi 12 pamoja na kumlipa fidia...
  6. Mshana Jr

    Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

    Hii sio good news ever. Labda huelewi. Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi. 1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha...
  7. Ikaria

    Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  8. Ikaria

    Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kesi dhidi ya Kaimu IGP wa Kenya wiki ijayo

    Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli anatarajiwa kuhukumiwa kifungo Ijumaa ijayo kwa kosa la kupuuza maagizo ya Mahakama mara saba. Jaji Lawrence Mugambi ameeleza kuwa IGP amedharau mahakama kwa kukosa kufika mbele yake mara 7 kueleza kuhusu maisha ya Wakenya watatu wanaodaiwa...
  9. MwananchiOG

    Mzee Magoma na wenzake kufungwa kifungo cha maisha kwa kufoji nyaraka za mahakama

    Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
  10. BARD AI

    Aliyebaka mtoto na kumwambukiza UKIMWI aachiwa huru baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, imemwachia huru mzee wa miaka 78 ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 na kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kati ya 2022 na 2023. Mbali na Mahakama ya Wilaya ya Iringa kumuhukumu kifungo cha maisha Oktoba...
  11. Rohombaya

    Johnson Mshana ahukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani

    Johnson Mshana (28) amehukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani. Mshana ambaye aliachiwa huru mwezi mmoja ulipita kutoka gereza hilo baada ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali kwa makusudi na pia kabla...
  12. Frank Wanjiru

    Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

    Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema...
  13. JanguKamaJangu

    Watuhumiwa 11 wa "Nitumie Hela Kwenye Namba Hii” wahukumiwa kifungo cha miaka Mitatu jela

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutoa taarifa za uongo mtandaoni. Washtakiwa hao ni Fredrick...
  14. Mdakuzi

    Afungwa Kifungo cha Maisha Baada ya Kulipiwa Umeme (Luku) kwa Simu ya Magaidi

    Unakumbuka tukio la kigaidi lililotokea Kampala, Uganda wakati wa mechi ya fainali ya World Cup 2010, kati ya Spain na Holland? Tukio lile lilimfanya mtangazaji wa Radio Salaam FM ya Mombasa, Habib Suleiman Njoroge kuingizwa kwenye kesi ya ugaidi wa tukio lile, na sasa anatumikia kifungo cha...
  15. N

    Nani anauwezo wa kunitoa kwenye kifungo hiki cha biashara?

    Wadau, Naomba mawazo yenu wadau, Mimi ninabishara ya Real Estate na Logistics. Sababu niliwekeza sana kwenye advertisements, Hizi Kampuni zangu zimekuwa maarufu sana kiasi kwamba sasa siwatafuti wateja ila wateja wananitafuta mimi kila siku ili kupata huduma na bidhaa zangu. Sasa kimbembe ni...
  16. JanguKamaJangu

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
  17. JanguKamaJangu

    Hivi ndivyo Babu Tale alivyokwepa kifungo cha kwenda jela kwa kesi ya Sheikh M Mbonde ya madai ya 250m

    https://www.youtube.com/watch?v=zEW8KhIHLF0 Chanzo: Simulizi Na Sauti
  18. P

    Ukichukua video ya ajali Dubai unaweza kutozwa faini ya Tsh. Milioni 100 au zaidi au kifungo cha miezi 6 au vyote kwa pamoja

    Kuchukua video ama picha ya matukio ya ajali si jambo la kiungwana, lakini pia linakiuka haki ya faragha yao kulindwa na kuvunja sheria ya taarifa binafsi na faragha. Picha au video zinazochukuliwa zinaweza kuwa za kudhalilisha na kushusha utu wa watu waliohusika kwenye ajali hiyo. Kwa upande...
  19. MIXOLOGIST

    Bado natafakari kifungo cha jela si adhabu stahiki na rekebu

    Heri ya mwaka 2024 walimwengu Mwaka huu umeingia nikiwa natafakari mambo kivingine hasa hili la kuwafungia watu wazima sehemu moja (jela) bila kujali wamefanya makosa gani, yaani adhabu ni moja kwa watu waliofanya makosa tofauti tofauti. Kwanini tuwaweke wahalifu ndani? tuna waogopa...
  20. P

    Nakwenda kwenye kifungo kigumu sana 2024 ila kitanisaidia sana.

    1. Sita angalia tena movie Wala kusikiliza Muzik wa aina yoyote ile. 2. Social media zote Twitter, Facebook, Instagram na nyingine zote tazi mute kwa mwaka mzima isipokuwa jamiiforum Pekee. 3. Video za vichekesho na short video zote na Zi mute whole year 4. Status za watu Whatsapp zote na mute...
Back
Top Bottom