kifungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  2. GENTAMYCINE

    Kungekuwa na Hukumu ya Kosa hili basi zamani sana ningekuwa natumikia Kifungo changu cha Maisha Segerea

    Hivi unajua usipompa pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi? Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
  3. Bull Bucka

    Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa. Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
  4. sky soldier

    Kuwe na adhabuya kifungo kwa wazazi / walezi wanaoficha ndani watoto walemavu, ni ukiukaji wa haki za mtoto

    Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana. Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
  5. JanguKamaJangu

    Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

    Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza. Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague...
  6. MSAGA SUMU

    Jamaa yangu anachomokaje kifungo cha miaka 10 hapa?

    Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki. Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu. Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
  7. Cannabis

    TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu. Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni...
  8. sky soldier

    Mila zinatutesa: Kitovu kimedondokea uke wa mtoto mchanga, kwa mila zetu atakua Tasa, Baba unaambiwa ugusanishe uume ili kumfungua, utaweza?

    Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana. Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani hataweza kuja kuzaa (Tasa). Njia pekee ni wewe Baba wa mtoto aende kugusisha umme uliosimama kwenye uke...
  9. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Mheshimiwa Jaji Mkuu, Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu, Mchungaji Mbarikiwa Dickson Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya...
  10. Pang Fung Mi

    Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

    Wasalaam, Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku. Walimu na elimu vinahitaji good governance...
  11. Lady Whistledown

    Tory Lanez atupwa Jela Miaka 10 kwa Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

    Tory Lanez, Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada amehukumiwa kwenda Jela Miaka 10 baada ya kupatikana na hatia katika Makosa Matatu, yakihusiana na Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion mnamo Julai 2020, huko HollywoodHills Japokuwa Tory Lanez alikana Mashtaka yote (kushambulia kwa kutumia...
  12. BARD AI

    Mpinzani wa Rais Putin aongezewa Kifungo cha Miaka 19 jela

    Mwanaharakati #AlexeyNavalny ambaye amekuwa akipinga waziwazi utawala Rais #VladimirPutin, alikuwa akituhumiwa kuunda na kufadhili genge lenye itikadi kali na kuendesha uasi dhidi ya Serikali. Hukumu imesomwa ndani ya Magereza yenye Ulinzi Mkali, Kilomita 250 nje ya Jiji la #Moscow ambako...
  13. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  14. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  15. BARD AI

    Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  16. BARD AI

    Afungwa miaka 3 Jela kwa kughushi nyaraka ili akawe 'House Girl' Dubai

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Hawa Mwangu (31), kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh200,000 baada ya kukutwa na hatia ya kutoa taarifa za uongo katika ofisi ya Uhamiaji kwa lengo la kupata hati ya kusafiria kwenda Dubai kufanya kazi za ndani. Mahakama hiyo pia, imetoa...
  17. Siku Hazifanani

    Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

    Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira, Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi...
  18. BARD AI

    Afisa Mtendaji afungwa kifungo cha nje na kutakiwa kurejesha Tsh. Milioni 2 alizoiba

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe ikihusisha kesi ya Jinai No. 38/2023 dhidi ya Nassim Mbazu ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Mshtakiwa alikutwa na kosa la Wizi huku akiwa Mtumishi...
  19. ChoiceVariable

    Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo. -- President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements adopted to make it tougher for people engaging in LGBQT. "President Museveni has executed his...
  20. sky soldier

    Baada ya vuta nikuvute ya kujaribu kuacha fegi, hatimae kwa sasa nimejinasua kabisa kwenye kifungo cha uraibu wa sigara, ni miezi 6+ siijui fegi

    Nimeanza kuvuta fegi since 2012, fegi ilikuwa daily mara 3 asubuhi, mchana, sometomes jioni na usiku, kila siku, ni mara chache mno niliruka. Nilikuwa mvutaji wa siri sana, nilikuwa naenda kuvutia maeneo ambayo sijulikani na kweli niliweza kuitunza siri hii mpaka nimeacha hakuna anaejua kasoro...
Back
Top Bottom