Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa
Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou.
Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
Salamu kwa wote na heri za maadhimisho ya kumbukumbu ya muungano wetu.
Tuna kila sababu ya kuwapongeza waasisi wetu kwa kuwa na fikra chanya za kutaka kuungana na hatimaye ikawa hivyo.
Umoja, undugu, mshikamano kwa kiasi kikubwa imekuwa sababu ya kupelekea maendeleo ya moja kwa moja kwa wale...
Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo.
Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa...
Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=.
Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia...
Wakuu salamu,ama baada ya salamu naomba kuelekea kwenye swali ama hoja.
Tumeona leo Sabaya akiachiwa huru na kurejea nyumbani baada ya taarifa za kukili kosa na kupewa kifungo cha nje kwenye kesi 7 za uhujumu alizokua amefunguliwa hapo Moshi.
Kabla ya yote wote tujikumbushe kua Sabaya...
Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha.
Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
Rufaa ya pili aliyokata mkazi wa Kijiji cha Mwanambaya, Wilaya ya Mkuranga, Denis Joseph, kupinga kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi imegeuka msiba baada ya kujikuta akiambulia kifungo cha maisha.
Mahakama ya Rufani imekubaliana na Wakili wa Serikali, Elizabeth...
Mkazi wa Kijiji cha Namiungo, Wilaya ya Tunduru, Mohamed Saudi Ngwelekwe mwenye umri wa miaka 25 amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia kumlawiti mwanaye wa kumzaa mvulana wa miaka minne.
Mtuhumiwa Mohamed Saudi Ngwelekwe ambaye kwa sasa ameanza kifungo chake
Hukumu...
Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la mapinduzi.
Uamuzi huo yeye ameutaja kuwa adhabu ya kujaribu kukuza demokrasia ya Belarus...
Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
“Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya, amependekeza wafungwa chini ya miaka mitatu watumikie kifungo cha nje.
Lengo la pendekezo hilo ni kupunguza msongamano wa wafungwa na mahabusu magerezani.
Pendekezo hilo alilitoa juzi kwenye Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha...
R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo.
Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa.
Waendesha mashtaka...
Licha ya kuwa ana hukumu ya miaka 30 iliyotolewa na Mahakama ya New York baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Waendesha mashitaka wametaka akimaliza hukumu hiyo iongezeke miaka 25.
Wametoa mapendekezo hayo katika kesi nyingine ya Ponografia na Kushawishi Watoto wadogo...
PICHANI: Binti mdogo Mona aliyekuwa mke wa muuaji aitwaye Sajjad Heydari.
Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja nchini Irani amemchinja pichani juu binti aliyekuwa mkewe kutokana na kumkimbia kwa sababu mateso na manyanyaso ndani ya Ndoa yao.
Binti huyo mdogo aliolewa akiwa na miaka 12 na...
Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment).
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
Watalamu wa sheria hii imekaaje, kifungo cha maisha hapo hapo miaka mitano jela hapo hapo faini
Sema mwamba shujaa sana unamvua mwenzio ubigwa mbele za watu
Source Azam tv
Mkazi wa kijiji cha Geilailumbwa kilichopo wilayani Longido mkoani Arusha, Lemindia Lesiria amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 16.
Mbali na kosa hilo mtuhumiwa huyo na rafiki yake, Kulasa Mandeu wamekutwa na hatia katika makosa...
Rapa Tory Lanez mwenye asili ya Canada amekutwa na makosa 3 ya Kushambulia kwa kutumia Silaha aina ya Bastola, Kubeba Bastola yenye Risasi ikiwa ambayo haina usajili na Kufyatua Bastola hiyo kwa uzembe.
Kwa mujibu wa Sheria za Marekani, makosa hayo yanamuweka hatarini kufungwa miaka isiyopungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.