Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF).
Baada ya hatua hiyo, wawakilishi kutoka FIFA na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) watatumwa nchini Kenya kwa ajili ya mazungumzo na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo.
Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume...
Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani
Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao
Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni...
Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa jana Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani.
Hata hivyo kwa kuwa tayari...
Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14.
Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma.
Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika.
Pamoja na hukumu...
Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu.
Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh...
Serikali ya Marekani imekubali kupunguza kifungo cha “tapeli wa mitandaoni” Hush Puppi hadi miaka 11 kwa kuwasaidia wapelelezi kutatua kesi nyingine.
⠀
Hush Puppi maarufu raia wa Nigeria aliyeongoza genge la utapeli kwenye mtandao alikamatwa na kuhukumiwa huko Dubai mnamo 2020 kwa kufanikiwa...
Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa uhalifu au matukio mabaya kama vile ajali bila kuwa na kibali cha polisi au chombo chenye mamlaka...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30
Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Kigoma, Lameck Mlacha amewataka Mahakimu kutumia sheria ya kifungo cha nje kwa makosa chini ya miaka mitatu kama ilivyoanishwa katika sheria ili kupunguza mrundikano wa wafungwa gerezani.
Ametoa mfano baadhi ya makosa hayo ni yale madogo na ambayo sio...
Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF ambayo mara kwa mara umekuwa Ukiidhalilisha kwakuwa unabebwa na kupewa Jeuri na Mstaafu wa Msoga mwenye...
Jana nilikua kwenye basi kuelekea nyumbani Kwamtogole. Jirani yangu alikaa mwanaume mwenye umri unaokaribia miaka 35. Hajui Kiswahili vizuri. Tuliongea hivyo hivyo na Kiingereza changu cha yes, no lakini nilifanikiwa kumuelewa.
Huyu mwanaume ni raia wa Ghana lakini alifanikiwa kwenda Ulaya...
Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018.
Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Abdel Moneim Aboul Fotouh (70) kifungo cha miaka 15 gerezani kwa makosa mbalimbali ikiwemo kusambaza taarifa za uongo na kupanga njama za kupindua Serikali
Fotouh alikamatwa mwaka 2018 baada ya kuikosoa vikali Serikali ya Rais Abdel Fattah El-Sissi. Pamoja naye...
Wadau
Moja kwa moja kwenye mada.
Ni ukweli kwamba uchawi upo hata kwenye Biblia imeandikwa. Familia yangu iko kwenye kifungo kibaya cha kichawi na tumemjua huyo aliyetufanyia hivyo baada ya miaka mingi. Evidences ni nyingi toka kwenye vyanzo mbalimbali tofauti , ambavyo vingine havina...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021
Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda Koichi Hagiuda aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba Japan italenga baada ya muda kukomesha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi, muuzaji wa pili kwa ukubwa wa nchi hiyo wa makaa ya joto mwaka wa 2021. Hagiuda alisema kupata wasambazaji...
Roch Kabore ambaye alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani tangu alipopinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi mwezi Januari, ameruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake, kwa mujibu wa serikali ya mpito ya nchi hiyo.
Kabore aliruhusiwa kurejea katika makazi yake katika mji mkuu wa Ougadougou...
Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa Februari 4 2022 amezungumzia sheria hiyo ambayo imeanza kutumika.
“Kama Kamishna Mkuu au Afisa ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.