kifungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Lindi: Selemani Matola (53), ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumnajisi Mjukuu wake

    Mahakama ya hakimu mkazi wilaya Lindi imemuhukumu Selemani Matola (53) mkazi wa Halmashauri ya Mtama kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia ya Kumnajisi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 8 Inadaiwa kuwa mshatakiwa huyo alifanya tukio hilo Disemba 17,2021 usiku wakati mkwewe...
  2. beth

    Belarus: Kiongozi wa Upinzani ahukumiwa kifungo cha miaka 18 gerezani

    Sergei Tikhanovsky ambaye aliongoza maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa hatia ya kuandaa machafuko na kuchochea chuki Tikhanovsky alipanga kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 dhidi ya Rais Lukashenko lakini alikamatwa Lukashenko...
  3. beth

    Benin: Mpinzani ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa kuhusika na vitendo vya ugaidi

    Mahakama moja Nchini humo imemhukumu mmoja wa Wapinzani wakuu wa Rais Patrice Talon kwa kuhusika katika vitendo vya ugaidi Reckya Madougou ambaye amewahi kuwa Waziri wa Sheria katika Serikali ya Rais Thomas Boni Yayi amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela Hukumu yake imekuja siku chache baada...
  4. beth

    Myanmar: Aung San Suu Kyi ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela

    Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha Aung San Suu Kyi ambaye amekuwa kifungo cha nyumbani tangu Februari 2021 baada ya Jeshi kufanya Mapinduzi...
  5. Lituye

    Freeman Mbowe lazima afungwe ili Uhuru wa kweli upatikane

    Huu sio wakati wa kumlilia Mbowe Wala sio wakati wa kuwalaani CCM. Ili Uhuru wa bandia wa akina Kingai na Mahita wa kuteka, kutesa na kuua raia wema Kama akina Moses Lijenje na wengineo uondoke ni lazima Mbowe afungwe na sio Mbowe tuu na wale wote wazalendo wa kweli wapite katika tanuru la Moto...
  6. Kasomi

    Nawaza tu: Huenda Sabaya hatomaliza kifungo cha miaka 30

    Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari. Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela. Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi. Je, unazani hakuna watu...
  7. Ngongo

    Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

  8. beth

    Algeria: Mdogo wa Rais Abdelaziz Bouteflika ahukumiwa kifungo cha miaka 2 gerezani

    Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua mkondo wake. Amehukumiwa pamoja na Waziri wa zamani wa Sheria, Tayeb Louh na Mfanyabiashara Ali Haddad...
  9. sky soldier

    Kumwacha jela kifungo cha mwaka kutasaidia kutoa sumu ya ulevi wa pombe?

    UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
  10. Emanuel Eckson

    Jela Kifungo cha Maisha kwa Kumlawiti Mtoto wa Miaka 9

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
  11. Mpinzire

    David Mataka aliyehukumiwa 20 Agosti, 2021 aliwahi kuhukumiwa Mwaka 2017 kwa kesi ileile na Mahakama ileile

    Kuna jambo limenishangaza sana! Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71. - David Mataka ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa...
  12. Erythrocyte

    Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

    Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea. Nukuu Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua...
  13. Suley2019

    Shinyanga: Suruali yenye damu yatengua hukumu ya kifungo cha miaka 30

    MAHAKAMA Kuu Masijala ya Shinyanga imeamwachia huru Daudi Manamba aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wa miaka sita. Mbele ya Jaji Elizabeth Mkwizu, mahakama ilitoa uamuzi huo baada ya kusikiliza rufani...
  14. beth

    Belarus: Mpinzani wa Rais ahukumiwa kifungo cha miaka 14

    Mpinzani wa zamani wa Urais wa Taifa hilo, Viktor Babaryko, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye mashtaka ya kupokea rushwa na utakatishaji fedha. Babaryko ni miongoni wa Wapinzani wakuu wa Rais Alexander Lukashenko ambayo wamefungwa au kulazimika kukimbia Nchi...
  15. Mr Q

    Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

    Kama ambavyo Mashehe wa uamsho walivyotolewa. Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu). Mdude kuachiwa(kushinda kesi). Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni. Singasinga. Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa...
  16. beth

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  17. S

    Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  18. beth

    Aliyempiga kofi la uso Rais wa Ufaransa ahukumiwa kifungo cha miezi minne

    Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa kitendo cha makusudi cha ghasia. Rais Macron (43) alisema hakuamua kuchukua hatua za kisheria na...
  19. real G

    Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Back
Top Bottom