kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vyeo vya Kijeshi vya Jeshi la Wananchi Tanzania: Imetokana na Historia niliyowahi kuitoa kuhusu Kanali Ali Mahfoudh

    Nimeulizwa pahala, eti Hussein kwani Kanali anakuwa na nyota ngapi?😂. Nadhani ni kutokana na tarehe (historia) ya Kanali Mahfoudh niliyowahi kuitoa siku ya kumbukumbu za kifo cha Sheikh Abeid Aman Karume. Sikumbuki vizuri, maana mimi siyo mwanajeshi. Ila angalau nilipita miaka ya nyuma kidogo...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: DRC yaanzisha kikosi cha kijeshi kulinda migodi ya madini

    Mmoja wa maofisa hao alisema hilo ni wazo la Rais Félix Tshisekedi lenye lengo la kuleta mageuzi katika sekta ya madini na kupambana na ubadhirifu wa madini ya thamani. Mamlaka ya madini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo imezindua kikosi cha wanamgambo kitakachohusika na kulinda...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Miendo ya kijeshi kama kwata/gwaride, marching, au michezo ya kikosi (drills) inasaidia nini kivita, kikazi zaidi Kwa wanajeshi na askari?

    Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno. Afande tujifunze. https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
  6. JamiiForums Tanzania Iran iko juu ya Israel kijeshi

    Hebu msikilize huyu myahudi https://youtu.be/FWAk6JNTv0s?si=1hE0a49Ql33hDgAY
  7. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Israel kuua viongozi wakuu wa kisiasa na kijeshi ina faida kimedani au ipo tu kujitwalia ujiko ?

    Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ? Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
  8. JamiiForums Tanzania Rwanda yaikosoa Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya maafisa wake wa kijeshi

    Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

    Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga. Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Inapokuja kwenye operesheni za kijeshi, China ni "Paper Tiger" (Mbwa asiye na meno)

    Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja kwenye operesheni za kisasa za kijeshi, kwa bahati mbaya ni "Paper Tiger" (mbwa asiye na meno). Licha ya...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

    Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu. https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
  13. JamiiForums Tanzania Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi

    JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  15. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ngorongoro wajengewa uwezo, wakumbushwa kujiimarisha katika masuala ya mawasiliano na itifaki za kijeshi

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi hiyo. Kaimu Meneja Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo, Hamis Dambaya amesema kuwa kufanyika kwa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

    Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba. Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya...
  17. JamiiForums Tanzania Samia akikamatwa kama asipomaliza ashtakiwe kwa kosa la kuihujumu Jamhuri ya Muungano ktk Mahakama ya Kijeshi

    Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako. Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi yeyote yule. Askari hao wa Uganda wanatumia facilities...
  18. JamiiForums Tanzania Afrobarometer: Idadi ya wanaotaka utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wanaotaka demokrasia

    Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya Jeshi kutwaa madaraka ya uongozi wa nchi. Wewe unasemaje mdau?

    Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari "MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI" HOJA ZAO NI HIZI 👇🏻👇🏻👇🏻 Kama serikali...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…