Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO IN LONG RUN
JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine
KAMA BAADHI YA VIONGOZI WANAENDA KWA WAGANGA KWA AJILI YA KUFANIKIWA KWENYE MAMBO YAO KWANINI IWE AJABU MIMI KWENDA KWA YESU
Mimi nampenda Yesu na kupitia yeye naamini kama nchi tutavuka salama tarehe 29 na sio tu kuvuka salama kwa amani bali na mbadiliko yatafuata mfano wa hayo niliyoyataja hapo juu
Nina siku 12 za kujinyenyekeza kwa Mungu na kumlilia ili aiponye nchi ambayo ipo kwenye uncertainty
Naheshimu wale ambao mnaamini kwenye njia nyingine za kudai haki ila sizi-ungi mkono
- Wako watakaopiga kura
- Wako wanaosupport maandamano
- Wako wanaopinga
- Wako ambao hawajajua wako upande upi wanasubiria siku hiyo waone upepo
- Wako wanaombea mapinduzi ya kijeshi
HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO IN LONG RUN
- Kuwa na jamii inayopenda shortcut hasa linapokuja swala la kutatua changamoto mfano Madagascar mwaka 2009 waliandamana na jeshi likamtoa Marc Ravalomanana na walimuweka Andry Nirina Rajoelina kupitia maandamano, mwaka 2025 wamentoa Andry nirina rajoelina kupitia maandamano kwa hiyo unaweza ona hiyo pattern
- Maandamano yanaweza yakazaa mambo mengine mfano uasi na vikundi vya waasi n.k mfano mwaka 1977 Mengistu Haile Mariam afisa wa ngazi za chini jeshini alifanya mapinduzi akawa waziri mkuu wa Ethiopia matokeo yake yakazaliwa vikundi vya waasi eneo la ahmara na tingranya mpaka utawala wa abiy Ahmed unaipitia hii changamoto kwa hiyo unaweza ona hio pattern
- Msajili wa vyama vya siasa asichaguliwe moja kwa moja na Rais
- Mkuu wa tume ya uchaguzi, na wajumbe wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na Rais
- Mkuu wa Takukuru asichaguliwe na Rais
- Dpp asichaguliwe na Rais na DCI (Director of criminal investigation) asiwe chini ya polisi bali awe chini ya ofisi ya DPP
- Rais awe eligible kushitakiwa akiwa amestaafu kama kuna makosa alifanya
- Spika wa bunge asiwe affiliated na chama cha siasa
- Mshindi wa pili kwenye matokeo ya Urais atakuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine
KAMA BAADHI YA VIONGOZI WANAENDA KWA WAGANGA KWA AJILI YA KUFANIKIWA KWENYE MAMBO YAO KWANINI IWE AJABU MIMI KWENDA KWA YESU
- Yesu ananipa mawazo na mbinu za kufanikiwa kwenye kila eneo