GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata jeshi lichukue nchi kwa muda ni sawa tu, acha wachukue wasafishe uchafu wote na uozo tuanze upya, tuipate Tanzania mpya, hata dhahabu hupita kwenye moto mkali ili ing'ae, iwe na ubora na thamani.
Kwa jinsi nilivyokuwa desperate, yaan mimi hata wakija M23 wakitangaza kutuongoza mathalani tu waiondoe ccm.
 
Wewe endelea kuchangamsha uzi
Kama wewe chizi unaona ni "kuchangamsha uzi", sina tatizo na hilo; kwa sababu nimekwisha kujulisha mwanzo; sasa hivi nazungumza lugha inayokufurahisha kwenye hali yako hiyo ya uchizi.

Kwa hiyo usitie shaka na mimi, nimeweka muda maalum wa kuvaa uchizi ili tuelewane vyema wewe na mimi.
 
Endelea usichoke nakushukuru sana unachangamsha uzi
Ukichoka nenda kapumzike alafu urudi tena uendelee

Ila bahati mbaya hamna tuzo za kuita watu chizi
 
Nakuhakikishia hilo la kuchoka ondoa mashaka kabisa. Nitakuwa na wewe wakati wote utakaopenda tuwe pamoja.
Nikukumbushe, sasa hivi sina tofauti yoyote na wewe, kwa sababu nimekubali kuuchukua uchizi kama ulivyo nao wewe.
Kwa hiyo tuendelee.
 
Wewe endelea kujifurahisha kumbuka neno lako sio sheria na halitakaa liwe sheria
Endelea usichoke mimi nipo live ila kamwe siwezi muita mtu chizi kwa sababu nimetofautiana mtizamo nimeshavuka hio stage kwa hiyo wewe endelea
 
Unajua ata Mungu baada ya kuona Farao hataki kuruhusu Wana wa Israel waende
Aliamua kutumia mapigo na nguvu zaidi?
 
Hapana, nakufurahisha wewe.Chizi mwenzangu kwa wakati huu.
Hakuna sehemu mimi nimekuita chizi
Yaani nikuite chizi kwa sababu nimetofautiana mtizamo au unaongea mambo usiyoyapenda mimi nimeshavuka hio hatua ya kifikra

Wewe ndo wa kwanza kuniita chizi na endelea siwezi kukutaza
 
Hakuna sehemu mimi nimekuita chizi
Yaani nikuite chizi kwa sababu nimetofautiana mtizamo au unaongea mambo usiyoyapenda mimi nimeshavuka hio hatua ya kifikra
Hiyo hatua tumeimaliza muda kitambo sana; mbona unarudi nyuma? Nilikueleza toka mwanzo, ukitaka kuendeleza hayo ya uchizi usirudi nyuma; tuwe machizi kwelikweli; nami nikakuwekea muda maalum tuendeleze uchizi.

Sina muda tena wa kurudi huko kwenye akili ulizonilazimisha niziache huko ili tuelewane vyema hapa kwenda mbele.
 
Wewe endelea kuniita chizi mimi niko open kwa kukosolewa, kupondwa, kutukanwa mimi sio dikteta kwa hiyo endelea usichoke sababu unadhani unanikomoa au kunikera usichoke

Wewe sio wa kwanza kuniita chizi na hutakuwa wa mwisho
 
Wewe endelea mimi niko open kwa kukosolewa, kupondwa, mimi sio dikteta kwa hiyo endelea usichoke sababu unadhani unanikomoa au kunikera usichoke
Hayo mambo ya kukubali kukosolewa hizo ni hadithi zilizopita kitambo. Kwa nini huelewi, au ni kwa sababu ya akili ya uchizi inayo kusumbua?
 
Back
Top Bottom