GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Marekani ilipata uhuru kwa maombi na baada ya uhuru asilimia kubwa ya watu walipewa biblia
Pumbavu, wewe ni kilaza hata hujui American Revolutionary war!
Labda ungesema hata Nyerere alifanya dua na masheikh ndio Tanganyika ikapata uhuru.
 
Unakipaji cha kuchekesha.
Itakuwa ni teenager huyu ndio maana anaandika nyuzi nyingi nyingi za mara anatakuwa kuwa Rais, mara rubani, mara Daktari n.k
 
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
  1. Wako watakaopiga kura
  2. Wako wanaosupport maandamano
  3. Wako wanaopinga
  4. Wako ambao hawajajua wako upande upi wanasubiria siku hiyo waone upepo
  5. Wako wanaombea mapinduzi ya kijeshi
MIMI DENNIS ROBERT SHUGHURU SISUPORT MAANDAMANO AU UHASI WOWOTE ILI KUFIKIA MABADILIKO NI UKWELI KAMA NCHI TUNAHITAJI MABADILIKO ILA KWA MTIZAMO WANGU SISUPPORT MAANDAMANO

HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO IN LONG RUN
  1. Kuwa na jamii inayopenda shortcut hasa linapokuja swala la kutatua changamoto mfano Madagascar mwaka 2009 waliandamana na jeshi likamtoa Marc Ravalomanana na walimuweka Andry Nirina Rajoelina kupitia maandamano, mwaka 2025 wamentoa Andry nirina rajoelina kupitia maandamano kwa hiyo unaweza ona hiyo pattern
  2. Maandamano yanaweza yakazaa mambo mengine mfano uasi na vikundi vya waasi n.k mfano mwaka 1977 Mengistu Haile Mariam afisa wa ngazi za chini jeshini alifanya mapinduzi akawa waziri mkuu wa Ethiopia matokeo yake yakazaliwa vikundi vya waasi eneo la ahmara na tingranya mpaka utawala wa abiy Ahmed unaipitia hii changamoto kwa hiyo unaweza ona hio pattern
NI UKWELI MIMI BINAFSI NATAKA MABADILIKO KAMA ILA SIO KUPITIA MAANDAMANO NA MAPINDUZI YA JESHI NA NI KAMA YAFUATAYO
  1. Msajili wa vyama vya siasa asichaguliwe moja kwa moja na Rais
  2. Mkuu wa tume ya uchaguzi, na wajumbe wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na Rais
  3. Mkuu wa Takukuru asichaguliwe na Rais
  4. Dpp asichaguliwe na Rais na DCI (Director of criminal investigation) asiwe chini ya polisi bali awe chini ya ofisi ya DPP
  5. Rais awe eligible kushitakiwa akiwa amestaafu kama kuna makosa alifanya
  6. Spika wa bunge asiwe affiliated na chama cha siasa
  7. Mshindi wa pili kwenye matokeo ya Urais atakuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
KAMA SIAMINI MABADILIKO KWENYE MAANDAMANO NTATUMIA NJIA GANI HILI MABADILIKO YATOKEE NDO SWALI AMBALO MTU YEYOTE ATANIULIZA AU ATATAKA KUJUA

JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine

Mimi nampenda Yesu na kupitia yeye naamini kama nchi tutavuka salama tarehe 29 na sio tu kuvuka salama kwa amani bali na mbadiliko yatafuata mfano wa hayo niliyoyataja hapo juu

Nina siku 12 za kujinyenyekeza kwa Mungu na kumlilia ili aiponye nchi ambayo ipo kwenye uncertainty

Naheshimu wale ambao mnaamini kwenye njia nyingine za kudai haki ila sizi-ungi mkono
Umeandika mambo ya kufikirika, haijawhi tokea duniani kokote mabadiliko ya kweli yakaja bila industry action.
 
Itakuwa ni teenager huyu ndio maana anaandika nyuzi nyingi nyingi za mara anatakuwa kuwa Rais, mara rubani, mara Daktari n.k
Kwani kuna sehemu nimevunja sheria nawaonea huruma sana watoto wako utakuwa umewawekea kuta nyingi sana kwenye fikra zao

Hata wewe unarusiwa sio kosa tumia haki yako usikarike watu wengine kutumia haki yao
 
Pumbavu, wewe ni kilaza hata hujui American Revolutionary war!
Labda ungesema hata Nyerere alifanya dua na masheikh ndio Tanganyika ikapata uhuru.
Alafu mimi sijui kutukana aisee hiyo stage ya matusi nimeshavuka I hope ukikua kifikra utaivuka
 
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
  1. Wako watakaopiga kura
  2. Wako wanaosupport maandamano
  3. Wako wanaopinga
  4. Wako ambao hawajajua wako upande upi wanasubiria siku hiyo waone upepo
  5. Wako wanaombea mapinduzi ya kijeshi
MIMI DENNIS ROBERT SHUGHURU SISUPORT MAANDAMANO AU UHASI WOWOTE ILI KUFIKIA MABADILIKO NI UKWELI KAMA NCHI TUNAHITAJI MABADILIKO ILA KWA MTIZAMO WANGU SISUPPORT MAANDAMANO

HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO IN LONG RUN
  1. Kuwa na jamii inayopenda shortcut hasa linapokuja swala la kutatua changamoto mfano Madagascar mwaka 2009 waliandamana na jeshi likamtoa Marc Ravalomanana na walimuweka Andry Nirina Rajoelina kupitia maandamano, mwaka 2025 wamentoa Andry nirina rajoelina kupitia maandamano kwa hiyo unaweza ona hiyo pattern
  2. Maandamano yanaweza yakazaa mambo mengine mfano uasi na vikundi vya waasi n.k mfano mwaka 1977 Mengistu Haile Mariam afisa wa ngazi za chini jeshini alifanya mapinduzi akawa waziri mkuu wa Ethiopia matokeo yake yakazaliwa vikundi vya waasi eneo la ahmara na tingranya mpaka utawala wa abiy Ahmed unaipitia hii changamoto kwa hiyo unaweza ona hio pattern
NI UKWELI MIMI BINAFSI NATAKA MABADILIKO KAMA ILA SIO KUPITIA MAANDAMANO NA MAPINDUZI YA JESHI NA NI KAMA YAFUATAYO
  1. Msajili wa vyama vya siasa asichaguliwe moja kwa moja na Rais
  2. Mkuu wa tume ya uchaguzi, na wajumbe wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na Rais
  3. Mkuu wa Takukuru asichaguliwe na Rais
  4. Dpp asichaguliwe na Rais na DCI (Director of criminal investigation) asiwe chini ya polisi bali awe chini ya ofisi ya DPP
  5. Rais awe eligible kushitakiwa akiwa amestaafu kama kuna makosa alifanya
  6. Spika wa bunge asiwe affiliated na chama cha siasa
  7. Mshindi wa pili kwenye matokeo ya Urais atakuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
KAMA SIAMINI MABADILIKO KWENYE MAANDAMANO NTATUMIA NJIA GANI HILI MABADILIKO YATOKEE NDO SWALI AMBALO MTU YEYOTE ATANIULIZA AU ATATAKA KUJUA

JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine

Mimi nampenda Yesu na kupitia yeye naamini kama nchi tutavuka salama tarehe 29 na sio tu kuvuka salama kwa amani bali na mbadiliko yatafuata mfano wa hayo niliyoyataja hapo juu

Nina siku 12 za kujinyenyekeza kwa Mungu na kumlilia ili aiponye nchi ambayo ipo kwenye uncertainty

Naheshimu wale ambao mnaamini kwenye njia nyingine za kudai haki ila sizi-ungi mkono
Utasubiri sana,kelele zote hizo unaambiwa ni kazi bure,je ziongezeke sauti au tujisahaulishe?
 
Hayo mambo saba uliyoainisha unadhan yatapatikana kwa kukaa mezani? Yaan uweke vifungu vya sheria vinavyowabana watawala na wakubali kuvipitisha? Never ever....
 
Yule mwanajeshi wa Madagascar alisema serikali yake itakuwa ya mpito kwa miezi mitatu sasa kageuza kuwa itakuwa ni miaka mitatu ndio ntolee hiyo.
 
Wewe ndo unataka kuwa rais wa TZ?!

Raia wanatekwa na kuuwawa na kupotezwa halafu unapinga Maandamano?!

Hivi unajua katiba hii hii mbovu inaruhusu wananchi kuandanama? Yaani kifupi urais hata familia yako hawawezi kupa!
 
Ndo mambo ya afrika hayo tukiongea tunaonekana wabaya

Kabla ya hiyo miaka mitatu wananchi wa Madagascar wataanza tena malalamiko
 
Wewe ndo unataka kuwa rais wa TZ?!

Raia wanatekwa na kuuwawa na kupotezwa halafu unapinga Maandamano?!

Hivi unajua katiba hii hii mbovu inaruhusu wananchi kuandanama? Yaani kifupi urais hata familia yako hawawezi kupa!
Angalia mapendekezo yangu yapo 7
 
Kwani ni lazima kenge wote wafanane akili wandugu? Diversity is humanity, una haki ya kutaka unayotaka na wengine wafanye yao! Ndio ubinadamu wenyewe
 
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
  1. Wako watakaopiga kura
  2. Wako wanaosupport maandamano
  3. Wako wanaopinga
  4. Wako ambao hawajajua wako upande upi wanasubiria siku hiyo waone upepo
  5. Wako wanaombea mapinduzi ya kijeshi
MIMI DENNIS ROBERT SHUGHURU SISUPORT MAANDAMANO AU UHASI WOWOTE ILI KUFIKIA MABADILIKO NI UKWELI KAMA NCHI TUNAHITAJI MABADILIKO ILA KWA MTIZAMO WANGU SISUPPORT MAANDAMANO

HASARA ZA KUTEGEMEA MAANDAMANO IN LONG RUN
  1. Kuwa na jamii inayopenda shortcut hasa linapokuja swala la kutatua changamoto mfano Madagascar mwaka 2009 waliandamana na jeshi likamtoa Marc Ravalomanana na walimuweka Andry Nirina Rajoelina kupitia maandamano, mwaka 2025 wamentoa Andry nirina rajoelina kupitia maandamano kwa hiyo unaweza ona hiyo pattern
  2. Maandamano yanaweza yakazaa mambo mengine mfano uasi na vikundi vya waasi n.k mfano mwaka 1977 Mengistu Haile Mariam afisa wa ngazi za chini jeshini alifanya mapinduzi akawa waziri mkuu wa Ethiopia matokeo yake yakazaliwa vikundi vya waasi eneo la ahmara na tingranya mpaka utawala wa abiy Ahmed unaipitia hii changamoto kwa hiyo unaweza ona hio pattern
NI UKWELI MIMI BINAFSI NATAKA MABADILIKO KAMA ILA SIO KUPITIA MAANDAMANO NA MAPINDUZI YA JESHI NA NI KAMA YAFUATAYO
  1. Msajili wa vyama vya siasa asichaguliwe moja kwa moja na Rais
  2. Mkuu wa tume ya uchaguzi, na wajumbe wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na Rais
  3. Mkuu wa Takukuru asichaguliwe na Rais
  4. Dpp asichaguliwe na Rais na DCI (Director of criminal investigation) asiwe chini ya polisi bali awe chini ya ofisi ya DPP
  5. Rais awe eligible kushitakiwa akiwa amestaafu kama kuna makosa alifanya
  6. Spika wa bunge asiwe affiliated na chama cha siasa
  7. Mshindi wa pili kwenye matokeo ya Urais atakuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
KAMA SIAMINI MABADILIKO KWENYE MAANDAMANO NTATUMIA NJIA GANI HILI MABADILIKO YATOKEE NDO SWALI AMBALO MTU YEYOTE ATANIULIZA AU ATATAKA KUJUA

JIBU NI-MAOMBI
Vijana au watu wengi sana wanaogopa kusema kwamba ntatumia njia ya maombi kufanikisha jambo langu-wengi wanaogopa kwamba wataitwa vichaa, hawana akili na kejeli nyingine

Mimi nampenda Yesu na kupitia yeye naamini kama nchi tutavuka salama tarehe 29 na sio tu kuvuka salama kwa amani bali na mbadiliko yatafuata mfano wa hayo niliyoyataja hapo juu

Nina siku 12 za kujinyenyekeza kwa Mungu na kumlilia ili aiponye nchi ambayo ipo kwenye uncertainty

Naheshimu wale ambao mnaamini kwenye njia nyingine za kudai haki ila sizi-ungi mkono
Point zote uko sahihi ila ondoa hiyo ya Rais kushtakiwa na sababu kuu ni moja tu, anaweza kuja mtu dictator akakataa kuondoka kwa hofu au ikawa ni silaha ya kufanyiana visasi kama Zambia tu hapo. Ila Rais atabanwa na mifumo uliyo orodhesha kunakuwa na check and balance.
 
Naunga mkono hoja.

Jeshi likishika dola , mfumo mzima wa tawala za kiraia utavurugika kabisa na utakuwa mwisho wa ndoto za kuwa na maendeleo ya maana.
 
Back
Top Bottom