PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,375
Reaction score
4,784
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.

Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.

Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.

Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).

Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.

Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.

Wenu,
MC
 
Waandamanaji waliwafanya vitu kwa target sana maeneo mengi walihit target bila kuathiri maeneo jirani mfano ofisi za serikali za mitaa, ofisi za CCM na vituo vya polisi vilichomwa bila kuathiri majengo jirani.

NB: Uwanja wa ndege haukusogelewa mkuu.
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
very weak reasoning, mapinduzi hayaonhozwi na raia wa nje, vuguvugu huanzia ndani.
Angalia recent countries zilizopinduliwa africa, ni jeshi na wananchi wameamua si raia wa nje
Lingekua mapinduzi within 24 hours serikal ingekwua nyingine
 
Mapinduzi ya ufaransa yalikuaje?..wasingedhibitiwa hali ingekuaje ndani ya wiki?..kwa nini rais alibadili kituo cha kupiga kura na kuhakikisha yupo Dodoma wakati wa uchaguzi?
Mapinduzi yapi ya ufaransa unayazungumizia?

Maana ufaransa ime underwent more than 4 revolutions
1789, 1848 na protest ya 1968, kuna zingine ambazo hazikuwa revolution but madai

So ya mwaka gani unaongelea?
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
1762277055329.jpg
 
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.

Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.

Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.

Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).

Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.

Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.

Wenu,
MC
nyiny ndo mnafany ccm watudharau
 
Back
Top Bottom