PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Danganya wajinga Mimi Kuna wanangu sita wajeda na niliwaona hapo ubungo wengine walikua mbezi wakiwa na raia na Leo wanaendelea na movement zao kama kawaida na mmoja nimetoka kuongea nae mda huu hapa hapa temboni hamna mbwa yeyote aliowasimamisha usifikiri watu wote unaongea nao humu ni wajinga eti unyonge mwanajeshi unachekesha sana wewe ngedere🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ndugu hakuna mjeda wewe asiyeweza kushughulikiwa isipokuwa tu walifikia level za major ndo kidogo wanaheshimiwa , Mburura wengine woteeee wanapigwaga na wanafungwa kama kawa , naongea usisahau kama mtoto wa mjeda nilikulia makambini nawajua sana na wadogo wangu wawili wapo humo mmoja mwanasheria anakuambia wameshawashughulikia , Utaona december 9 watakavyokuwa wametepeta
 
nipo location ya hao ? usiwataje majina
 
nipo location ya hao ? usiwataje majina
Nimefatilia mazungumzo yenu humu,

Tangu Tarehe 29, nimekwisha ongea na vijana wenye taarifa za Usalama na Jeshi. Ni kweli Kabisa Askari walioenda kuzuia Raia wasiuliwe walikasirishwa na Baadhi ya Polisi kuua watu, Nina fahamu kabisa kuwa Baadhi ya Askari walivaa nguo za Kiraia na kwenda kulinda na Kushambulia Askari polisi walikuwa wanapiga Raia.

Ni kweli Kabisa kuna wanajeshi waliuliwa na Either na Polisi au Mamluki, zaidi kwa ushahidi wa macho ni kuwepo eneo la tukio ninafahamu baadhi ya Wale waliokuwa wanaua watu hapo Dar walikamatwa, sijaua fate yao nitafatilia zaidi
 
ndugu hakuna mjeda wewe asiyeweza kushughulikiwa isipokuwa tu walifikia level za major ndo kidogo wanaheshimiwa , Mburura wengine woteeee wanapigwaga na wanafungwa kama kawa , naongea usisahau kama mtoto wa mjeda nilikulia makambini nawajua sana na wadogo wangu wawili wapo humo mmoja mwanasheria anakuambia wameshawashughulikia , Utaona december 9 watakavyokuwa wametepeta
We kweli chawq wanajeshi kibao waliokua doria bado wako kazini na hamna nguruwe yeyote aliewagusa yaani umuwajibishe mwanajeshi kwakwenda kumlinda mwananchi asiuwawe hivi unaakili timamu
 
wewe bwege kweli yule ni mwajiriwa tu kama walivyo waajiriwa wengine wewee unajua anaanza na TGS level gani? jifunze kwanza hapo ndo utawaona ni watu wa kawaida sana, na uje chochote anachoamrishwa na kubwa wake anatii tu hata aambiwe ampige mama yako leo risasi atampiga tu hakuna kuquestion
 
We ngedere mwanajeshi hafukuzwi Kwa kumlinda raia ngedere wewe kama unataka kuleta uasi tanzania jaribuni hiyo mishe kama patakarika hapa ukiona mwanajeshi anamlinda mwananchi ujue huyo anauzalendo wa Hali ya juu jaribu kumfukuza kama hawajachukua vijana waingie nao msituni halafu msikilizie milio na Sasa hivi akitokea mwanajeshi akawaambia raia waingie msituni mtakiona Cha moto
 
We ngedere mwanajeshi hafukuzwi Kwa kumlinda raia ngedere wewe kama unataka kuleta uasi tanzania jaribuni hiyo mishe kama patakarika hapa ukiona mwanajeshi anamlinda mwananchi ujue huyo anauzalendo wa Hali ya juu jaribu kumfukuza kama hawajachukua vijana waingie nao msituni halafu msikilizie milio
hivi unadhania nchi ni kama chumba cha mangi tandale? wanafukuzwa kila siku na hawana cha kufanya maana akitaka revenge mzeee hii nchi ina vikosi 84 nchi nzima atapigana na yupi? na mazee usione huko mtaani kwako tiss ina ma informer kila mahali hata akipiga chafya serikali imeshajua hasahasa kama wamekufukuza wanaanza kukufuatilia
 
Hao Tiss walishindwaje kuwafahamu waandamanaji wakiwa wanapiga chafya kabla hawajakichafua?
 
si umeona walishikwa wengi sana kabla, huuu mpango ulifadhiliwa na watu wenye nguvu sana, siku moja ntaweka hadharani
 
Tulitegemrea kushika hao wengi kusaidie yasitokee..sasa kama yalitokea na unasema kuna watu wenye nguvu walikua nyuma yake...tutaamini vp ufanisi wa hiyo Tiss kuelekea tar 9 dec?je hao waty wenye nguvu wameshakufa au kuamatwa au kuondolewa?
 
Back
Top Bottom