Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
- #81
Ni makosa ya CCM kuwafungia watanganyika miaka 60 wasiandamane, kwahiyo kwa Tanzania, tegemea high intensity kwenye maandamano yeyote kwasababu ya hasira na jazba za kufungiwa. CCM has planted the seed of its own destruction.Movement ya kitume siyo!..mkatumwa kuchoma moto mali