PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Changamoto ya akili ndo namba Moja uliyonayo maana huwezi kushabikia mauji ya wanachi wenzako ukiwa timamu kichwani
Changamoto ya pili ni hiyo ya uwongo na kukanusha baada ya kumbuka, ulisikiliza hutuba ya mama yako vizuri akikana watanzania hawahusiki na maandamano?
Kula vyakula vyenye Omega 3 na vitamini A ubongo wako ufanye kazi vizuri japo ushabaleghe
 
Kula vyakula vyenye Omega 3 na vitamini A ubongo wako ufanye kazi vizuri japo ushabaleghe
Hata kichaa huamini yeye ndo Yuko sahihi na huwezi kubadilisha labda apone ukichaa wake

Narudia kukuambia una changamoto ya akili
Hata nyumbu wanakuzidi akili maana hawezi kufurahia mauaji ya nyumbu wenzao kama unavyofurahia vifo vya binadamu wenzako

Najaribu TU kujibu Kwa faida ya wengine ambao akili ni nzima
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Ni sisi wenyewe, ninyi mnapumbazwa na Samia na CCM yake kuwa ni maagizo ya nje, eti wivu wa miundombinu, hiyo miundombinu yenu ni ya ovyo sana. Wala haipo kwenye standard, tembea nchi zingine uone miundombinu, siyo hiyo yenu. Ina maana watanzania hatuwezi kufikiri, kuona Samia anaiba kura? Mmedanganywa sana na propaganda za CCM. Kimsingi wananchi tumeshaichoka CCM na sisi tuna akili za kufikiri, nani asiyechukizwa na utekaji, ubakaji, ufiraji, utesaji, mauaji, ufichaji na maziko ya kimbari ya wananchi wasio na hatia, unadhani hatuoni, subiri mama yako akamatwe abakwe ndiyo utajua hao siyo wenzio. Abdul hana huruma na watanganyika, mama yake vile vile, wote wapumbavu wasio na akili kama polisi wao (Form III &IV failures)
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Hata mimi naamini kama wewe kwamba wale walioitwa kukaa mezani kabla ya uchaguzi kujadiri masuala muhimu na badala yake wakaamua kuziba masikio pia walioshauriwa na watu wa nje na ndo maana wameipindua katiba.

Wale mliodhani ni wajinga sanaaaa na mkawaona hawawezi chochote ndo hao mnasema walishauriwa. Endeleeni kujidanganya maana kama raia waliweza kwa kiwango kile wakiwa wanafunzi sasa subirini wakirudia tayari wakiwa ndo wakufunzi maji mtuaita momma😂🤣🤣🤣
 
Ukitaka kumuua nyoka mpige kichwani.

Unapiga kwenye mshono tu.

Uppercut chembe kidevu LAZIMA UKAE.
 
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.

Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.

Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.

Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).

Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.

Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.

Wenu,
MC
Kwa hivyo unathibitisha walikuwa ilikuwa ni haki Yao, mkiamdamana TENA mtakufa kama nzige... Na mtafanga tarehe nyengine April 26
 
Intel ya Vyombo vyetu inatia mashaka sana, Hii Sms waliyotuma Hawa protestors inaongezeka mashaka zaidi kuwa are we safe? As a Country

Mana haya maandamano yalikuwa Well Coordinated sana Kwa kuangalia izo events tu unaona Patterns kabisa

Sasa hio Coordination walifanya wapi na Lini Vyombo havikuwa na Intel kabisa ili kuwadhibiti mapema
 
Back
Top Bottom