gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Meme za wakenya unabeba tu,au nawe mkenya,mtanzania gani hutumia kiswahili hicho
Meme za wakenya unabeba tu,au nawe mkenya,mtanzania gani hutumia kiswahili hicho
Umeona duka la nenga tu?..wangejaa ubungo pasipitike, magomeni mapipa,fire na posta kwa muda wa wiki,kingetokea nini?unafanya mapinduz kwa kuchoma duka la Nenga ? 🤣 bro kuwa serious asee
Meme za wakenya unabeba tu,au nawe mkenya,mtanzania gani hutumia kiswahili hicho
Kuchoma miundombinu na mali za watu ni ukichaa toshaIkumbukwe waandamanaji hawakuwa vichaa, mazombi au watu walioksa akili kama tunavyoaminishwa na hao viongozi haramu pamoja na chawa wao.
Wengi wa waandamanaji walikuwa ni vijana wetu wasomi wanaojielewa na kujua ni nini wanachopigania.
Wengine ni vijana waliopitia JKT wakisubiri kuajiriwa jeshini na wengine ni vibaka(vijana waliotelekezwa na mfumo mbvu wa uongozi).
Ndio maana wakaweza kufanya yaliyofanyika.
Tukana tu,si mmezoweaDuh natamani kukutukana
Acha aongee ni MZANZIBAR huyo ndio maana anasema hivo ila anajifanya mtanganyikaDuh natamani kukutukana
Shindwa , tz kama tunaamua kumalizana wenyewe iwe kwetu tu sio wengine waje .Kwa andiko hili Utasababisha deployment ya vikosi vya kigaidi vingi kutoka nje huku vikipewa leseni ya kuwamaliza watanganyika
Sijawahi fika ZanzibarAcha aongee ni MZANZIBAR huyo ndio maana anasema hivo ila anajifanya mtanganyika
Shaba hazikua halali, waliwaonea tu raia wasio na hatia.Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
🚮🚮Kuchoma miundombinu na mali za watu ni ukichaa tosha
Mlifikiria ni waoga wakawaonyesha kwamba wao mababu zao na mababu zao walipigana Vita na Mjerumani Carl Peter's mkono wa damu na walimjambisha sembuse ....nywinywinywi?Dhihaka hazisaidii, wacenge wamechezea chuma na macho ndiyo atawapangia maisha kwa miaka mitano ijayo
Hakukua na vikosi vya nje,mlibutuliwa na watz wenzenuShaba hazikua halali, waliwaonea tu raia wasio na hatia.
Jeshi lilizidiwa mbinu na hivyo vikosi vya nje, zigo la nnya likawqqngukiq vijana wa kiume wote nchi nzima.
Carl Pieters hakupigana vita,jifunzeMlifikiria ni waoga wakawaonyesha kwamba wao mababu zao na mababu zao walipigana Vita na Mjerumani Carl Peter's mkono wa damu na walimjambisha sembuse ....nywinywinywi?
Sasa hivi kauli ya uoga mbona haiaungumzwi gen z si mchezo mnajinyeanyea tu Sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣Nyumbu zilidanganywa na Mange kimambi kuwa lile ni gogo siyo Mamba kwahiyo nendeni hamtaliwa, mwisho wa siku Nyumbu zimeliwa imebaki vilio mitandaoni
Kasome tena history pumbavu ndio maana mnakurupuka kupiga watu risasi kumbe history hamuijui vizuri alikua mjerumani au hakua mjerumani? Anzia hapo km hujui mfuate yule mama yako akuelezee vizuriCarl Pieters hakupigana vita,jifunze
Kama kambi ya jeshi siyoNasikia Tarehe 9 December waandamanaji wanaelekea kwenye maeneo muhimu zaidi.